Balozi wa Denmark Bw.Carsten Nilaus Pedersen leo alikutana na Rais Jakaya Kikwete ilikumuaga rasmi baada ya kumaliza kipindi chake cha kama Balozi wa Denmark hapa nchini (22/01/2007).