Rais Jakaya Kikwete akiongea na Watanzania waishio nchini Ethiopia alipokutana nao kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia uliopo mjini Adis Ababa 30/01/2007 Rais Kikwete yupo huko kuhudhuria Kikao cha Nane cha AU.