Pictures and Events |
![]() Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uingereza waliokuja kumwona Rais Jakaya Kikwete na kuzungumza nao katika Hoteli ya The Churchil Hyatt Regency iliyoko mjini London. JK yuko nchini Uingereza kwa ziara ya kikazi (14/01/2007). |