.

Hotuba ya Waziri Mkuu, Mheshimiwa  Frederick Tluway Sumaye, Mbunge, kuhusu  Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali, 2002/2003 na Makadirio ya Matumizi ya Fedha ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge, 2002/2003 

Dira Jukumu

Dira ya Ofisi ya Waziri Mkuu ni kuwa mfano katika utendaji bora, kutimiza wajibu wake upatanishi baina ya wizara za serikali na pia kuwa maendeleo ya demokrasia serikali, kuonyesha kutokuwa na upendeleo na kuvipatanisha vyama vua siasa.

Jukumu la Ofisi ya Waziri Mkuu ni kuhakikisha, kusimamia na kuangalia utekelezaji wa maamuzi ya serikali.

Kazi za Ofisi ya Waziri Mkuu

  • Kuratibu, kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa shughuli za wizara zote. Kiongozi wa shughuli za Serikali Bungeni, Kiungo kati ya vyama vya siasa na Serikali, Sikukuu na Sherehe za Kitaifa, Sera ya Habari.

  • Kusimamia vyombo vya habari (magazeti,redio na vituo vya televisheni)

  • Kujiandaa dhidi ya maafa na kusimamia utoaji wa misaada wakati wa maafa

  • Uhamishaji na Maendeleo ya Makao Makuu Dodoma, Kusaidia na kutekeleza mpango wa maendeleo ya mji wa dodoma kama makao makuu ya serikali ya Tanzania, Kuratibu na kusimamia mradi wa kuhamia Dodoma.

Mashirika na Taasisi

  • Bunge: www.bungetz.org

  • Msajili wa vyama vya Siasa

  • Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC)

  • Mamlaka ya Kuendeleza Makao Makuu Dodoma (CDA)

  • Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD)

  • Televisheni ya Taifa (TVT)

  • Chuo cha Uandishi wa Habari (TSJ)