.

Dira Jukumu

Kutoa huduma za afya zenye ubora wa kiwango cha juu na kwa kila mwananchi, kuwa na mpango endelevu wa afya wa Taifa wenye kutoa huduma bora ndiyo dira ya wizara hii

Jukumu la wizara ya afya ni kuhakikisha kuwa wafanyakazi wote na watoa  huduma wanatoa huduma ya afya kwa madhumuni ya kuwa na afya bora kwa jamii

Kazi za Wizara Ya Afya

  • Kuandaa sera ya Afya

  • Kutoa huduma zifiatazo;

  • Huduma za hospitali

  • Huduma za Kinga

  • Muduma za kusimamia madawa

  • Kusimamia Ubora wa madawa na vyakula

  • Huduma ya Uzazi wa Mpango

  • Kutoa huduma za baraza la kisayansi

  • Kuinua matumizi ya madawa ya asili

  • Kukagua huduma za afya

  • Kushiriki katika Mashirika ya Kimataifa ya afya ya Utabibu

  • Kuendeleza nguvukazi chini ya Wizara hii

  • Kusimamia Idara, Mashirika ya Umma na Miradi iliyo chini ya Wizara

  • Kusimamia Mawakala wa Serikali walio chini ya Wizara hii

Mawakala/Taasisi

  • Maabara ya Kemia ya Serikali

  • Taasisi ya Chakula la Madawa

  • Hospitali ya Taifa ya Muhimbili

  • Shirika la Taifa la Madawa

  • Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili

  • Kituo cha Saratani cha Ocean Road

  • Kituo cha Chakula na Lishe

  • Kituo cha Taifa cha Utafiti wa Madawa

  • Hospitali ya Rufaa ya Mbeya

Vyombo vya kisheria

  • Msajili wa Hospitali Binafsi

  • Tume ya Udhibiti wa Vyakula

  • Baraza la Waganga wa Macho Tanzania

  • Baraza la Madaktari wa Tanganyika

  • Bodi ya Madawa

  • Baraza la Wauguzi na Wakunga

  • Bodi ya Maabara Binafsi za Afya

  • Baraza la Maabara za Teknolojia ya Afya

  • Mkemia Mkuu wa Serikali