.

Hotuba ya Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa John P. Magufuli (Mb.) Wakati Akiwasilisha Bungeni Mpango wa Maendeleo na Makadirio ya Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2002/03

Dira Jukumu

Kuwa msimamizi na mratibu mkuu wa sekta ya ujenzi yenye ufanisi na uendelevu unaotarajiwa katika kukidhi mahitaji ya ujenzi, ukarabati na matengenezo ya barabara, madaraja na majengo na hivyo kuiwezesha sekta hii ya ujenzi kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya uchumi hapa nchini

Kuandaa na kusimamia utekelezaji wa sera ya maendeleo ya hapa nchini

Kazi  za Wizara

  • Kusimamia ujenzi  na matumizi ya barabara

  • Kujenga barabara na madaraja

  • Kupitia wahandisi wa mikoa

  • Kusimamia ukaguzi wa barabara na madaraja

  • Kusimamia usajili wa wahandisi na makandasi na washauri wa miradi ya ujenzi

Mawakala/Taasisi

Shirika la Taifa la Ujenzi wa Barabara (TANROADS)
S.L.P. 11364
Jengo la Maktaba Kuu

Barabara ya Bibi Titi Mohamed

Dar es Salaam 

Tel: 255 22 2152576/2150932

Fax: 255 22 2150022