

































|
. |
|
 |
|
Dira |
Jukumu |
|
Lengo la
Wizara hii ni kukuza biashara, na ushidani, kuhakikisha kuwa
chakula cha kutosha kinapatikana, kuinua hali ya maisha
vijijini, kuongoza ajira vijijini na kuwa msingi imara wa
maendeleo ya kiuchumi na kuungana na sekta nyingine, kutumia
mali asili katika njia endelevu. |
Kuandaa
sera nzuri, kuandaa kanuni na mifumo bora na kuwasidia huduma
za kutoa ushauri kwa wakulima na sekta binafsi kuhusu
maendeleo endelevu na kupunguza umasikini |
|
Kazi za Wizara
ya kilimo na Chakula |
-
Kusimamia
Sera za Maendeleo ya Kilimo na Utekelezaji wake
-
Mipango ya
Kilimo na Matumizi ya Ardhi, Utafiti na Ushauri kwa Wakulima, Ujenzi wa zana
za kutunzia chakula, Sera ya Chakula na Umwagiliaji
-
Kuwapatia
mafunzo zaidi wafanyakazi wa Wizara
|
|
Taasisi na
Mashirika |
Kanda ya Ziwa
Nyanda za Juu Kusini
Kanda ya Kaskazini
-
Chuo cha Utafiti wa
Kilimo cha Selian
S.L.P. 6024, Arusha
Chuo hiki kinafanya utafiti wa mazao shayiri na chakula, na matunda
Simu: 255 27 23883
Fax: 255 27 23971/2548557
E-mail:
Sar@yako.habari.co.tz
Kanda ya Kusini
Kanda ya Kati
Kanda ya Mashariki
Kanda ndogo ya Mashariki
Kanda ya Magharibi
|
|
 |