.

Dira Jukumu

Kuwa msimamizi wa maendeleo ya sekta za maji na mifugo ili kukidhi mahitaji ya watanzania wanaoishi mijini na vijijini.

Kuendeleza sekta za maji na mifugo kwa ushirikiano na washikadau wote

Kazi  za  Wizara

  • Kuratibu utekelezaji wa sera ya maendeleo ya maji na taasisi za huduma mbalimbali za maji na majitaka hapa nchini, upatikanaji wa maji mijini na vijijini.

  • Kuratibu utekelezaji wa sera za maendeleo ya mifugo hapa nchini

Mawakala/Taasisi

Shirika la Uchimaji na Ujenzi wa malambo (DDCA)