Hotuba za Waziri na Taarifa mbalimbali
Kuhakikisha hali ya usalama na utulivu kwa jamii
Kusimamia utekelezaji wa sheria na taratibu za nchini
Kazi za Wizara
Kulinda usalama wa raia na mali zao
Kulinda na kuhifadhi wafungwa na watumiwa wa makoda mbalimbali walio chini ya ulinzi wa magereza
Kudhibiti matembezi ya raia na wageni ndani na nje ya Tanzania, ikiwa ni pamoja na kutoa Uraia kwa wasio kuwa raia
Kuandaa na kusimamia utekelezaji wa huduma za uokoaji
Kutoa misaada ya dharura na hifadhi kwa wakimbizi kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi
Kuratibu vita dhidi ya madawa ya kulevya.
Mawakala/Taasisi