.

Dira Jukumu

Msaidizi katika shughuli za kuzalisha, kununua, kusafirisha na kutumia madini katika njia ambazo zitalinda usafi wa mazingira

Sekta ya Nishati:  kusaidia jitihada za Taifa za kuwa na chanzo cha nishati kinachoaminika,  kusafirisha, kusambaza na kutimia katika njia ambazo hazitaharibu mazingira

Sekta ya madini:  Kutilia mkazo ushiriki wa sekta binafsi katika utafutaji na uchimbaji wa madini kwa madhumuni ya kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

Kazi Za Wizara

  • Sera ya maendeleo ya nishati na miradi, petroli, sera ya umeme, miradi ya umeme mijini na vijijini, sera ya madini na maendeleo yake, migodi, utafiti wa kijiolojia na kijiografia, sekta ya mafunzo

  • Kutoa mafunzo kwa wafanyakazi wa Wizara

  • Idara, Mashirika ya Umma na Miradi chini ya Wizara

  • Mawakala wa Serikali chini ya Wizara hii.

Taasisi na Mashirika