|
·
Kusimamia sera ya mambo
ya nchi za nje, Mabalozi wa Tanzania nchi za nje, Masuala ya Jumuiya ya Madola,
Mikataba ya Kimataifa, Maagano na Makubaliano, Shughuli za Umoja wa Nchi za
Kiafrika, marupurupu na kinga ya kidiplomasia, protokali na hati za utambulisho,
huduma za ofisi ndogo za kibalozi, ushirikiano wa kimataifa na baina ya mataifa
ya eneo moja, Tume za Pamoja, upelelezi wa nafasi za kiuchumi nchi za nje.
·
Kuendeleza Wafanyakazi
chini ya Wizara hii
·
Idara, Mashirika ya Umma
na Miradi chini ya Wizara
Mawakala wa
serikali chini ya Wizara |