.

Hotuba ya Bajeti Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu

Dira Jukumu

Dira ya Wizara hii ni kuwa na jamii ya wasomi ambayo inaweza kuhimili  maendeleo ya kisayansi na teknolojia kitaifa na kimataifa

Kuandaa na kutafsiri sera za serikali juu ya maendeleo na ukuzaji wa sayansi na teknolojia na kuhusu utaoaji wa mafunzo za kiufundi, ufundi stadi na elimu ya juu.

Kazi za Wizara

  • Kusimamia sera na mipango ya sayansi na teknolojia, utafutaji na matumizi ya teknolojia, kuendeleza utaalam wa hapa nchini katika sayansi na teknolojia, kutoa taarifa za kitafiti kuhusiana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, elimu ya juu, sera ya vyuo vikuu. Taasisi za teknolojia na vyuo vya ufundi.

  • Mashirika ya kimataifa k.m. UNESCO

  • Kuendeleza nguvu kazi chini ya Wizara

  • Kusimamia shughuli za idara kuu , mashirika ya umma na miradi iliyo chini ya Wizara.

Mawakala/Taasisi

www.nactetz.org