.

Dira Jukumu

Kuongeza ufanisi katika utoaji wa haki na huduma za kisheria na kupeleka huduma hizo kwa wananchi walio wengi na hivyo kuimarisha amani na utulivu

 

Kuwa msimamizi na mratibu  mkuu wa haki na sheria kwa kuongoza mashtaka ya kesi za jinai na madai mahakamani, kuandaa miswada ya sheria, usajili wa vizazi na vifo, ndoa na talaka na utoaji wa ushauri wa kisheria kwa serikali na taasisi zake

Kazi  za Wizara

  • Kusimamia uoatikanaji wa haki na huduma za kisheria

  • Kuongoza mashitaka ya kesi za jinai na madai mahakamani

  • Kusajili vizazi, vifo, ndoa na talaka

  • Kuandaa miswada ya sheria kwenda bungeni

  • Kutoa ushauri wa kisheria kwa serikali na taasisi zake.

  • Kusimamia maslahi ya watumishi wa Wizara

Taasisi na Mashirika

Tume ya Kurekebisha Sheria
Mtaa wa Ohio
S.L.P 3580
Dar es Salaam
Simu: + 255 22 2111387/ 2111390
E-mail : tlrc@catsnet.com