.

Dira Jukumu

Kuwa na vyama vya Ushirika vinavyojitegemea na masoko yenye lengo la kuinua hali ya maisha ya wananchi wenye kipato cha chini

Kuboresha huduma za vyama vya Ushirika na Sekta ya Masoko.

Kazi za Wizara

  • Kusaidia kuaanda sera za Ushirika na Masoko na kusimamia utekelezaji wake

  • Kuanzisha vyama vya Msingi na vyama vya Ushirika

  • Kuanzisha Vyama vya Kuweka na Kukopa

  • Kufanya utafiti juu ya biashara na masoko

  • Kuhakikisha Wizara inakuwa na wafanyakazi wenye ujuzi wa kazi zao kwa kuwapa mafunzo

  • Kusimamia miradi iliyo chini ya Wizara hii.

Taasisi na Mashirika

Chuo Cha Ushirika

Cooperative Audit and Supervision Corporation (COASCO)