|
Kuunda
Sekta ya viwanda iliyo yenye nguvu, anuwai, imara, na yenye
kuhimili ushindani itayoongeza mchango wa sekta hii katika
pato la Taifa na kuwa ba mfumo wa biashara wenye uwezo wa
kuchochea uzalishaji wa bidhaa na huduma na uchumi wa hali ya
juu wa fedha |
Kuharakisha maendeleo ya viwanda na kutengeneza mazingira
mazuri kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa viwanda vilivyopo
na kuvutia wawekezaji wapya katika biashara, kuleta ushindani
katika masoko ya ndani na ya nje. |
-
Kuandaa sera za Viwanda
na Bishara
-
Kusimamia na kurekebisha
Biashara za Nje na Ndani
-
Kulinda hatimiliki na
haki za Ujirani
-
Kufuatilia masuala ya
Haki za Kitaaluma
-
Kuandaa maazimio ya
utendaji wa kibiashara
-
Kuweka viwango na
kuanzisha vipimo vya uzito na urefu
-
Kuwasiliana na kuratibu
Mashirika ya Kimataifa (WIPO, ARIPO, GATI, UNCTAD, UNIDO, SADCC, Group 77 n.k)
-
Kusimamia shughuli za
Idara za Serikali, Mashirika ya Umma na Miradi iliyo chini ya Wizara
-
Kusimamia shughuli za
Taasisi zilizo chini ya Wizara hii
|