MAENDELEO
YA UCHUMI JUMLA | UENDELEZAJI
WA SEKTA BINAFSI | SUALA MAALUMU
KATIKA MAENDELEO | |
|||||||||
| MAENDELEO KATIKA SEKTA MBALIMBALI | |||||||||
Kilimo |
|||||||||
MADINI |
|||||||||
Ukuaji
wa Sekta
212. Katika mwaka 2003, sekta ya madini ilikua kwa asilimia 17.0 ikilinganishwa na asilimia 15 mwaka 2002. Ukuaji huo ulitokana na kuongezeka kwa uzalishaji hasa wa dhahabu. Mwaka 2003, mchango wa sekta ya madini katika Pato la Taifa ulikuwa asilimia 2.9 ikilinganishwa na asilimia 2.7 mwaka 2002. Katika mwaka 2003, jumla ya mauzo ya madini nchi za nje yalikuwa ni dola 553.1 milioni ikilinganishwa na dola 471.0 milioni mwaka 2002. Ongezeko hilo ni sawa na asilimia 17.4 Utafutaji
Madini Uchimbaji na Uuzaji wa Madini: Almasi 214. Thamani ya almasi iliyozalishwa katika mwaka 2003 ilikuwa dola 31.9 milioni ikilinganishwa na dola 28.1 milioni mwaka 2002, sawa na ongezeko la asilimia 13.5. Sababu ya ongezeko hilo ni kuongezeka kwa kiasi cha almasi kilichouzwa katika soko la nchi za nje. Jumla ya karati 236,382 zilizalishwa katika mwaka 2003 ikilinganishwa na karati 213,491 za almasi zilizozalishwa mwaka 2002. Dhahabu
Vito vya Thamani Makaa
ya Mawe Jedwali Na.56(UCHIMBAJI WA MADINI: KIASI KILICHOPATIKANA) Jedwali Na.57(MADINI YALIYOUZWA NCHI ZA NJE 1993 - 2002) |
|||||||||