MAENDELEO
YA UCHUMI JUMLA | UENDELEZAJI WA SEKTA BINAFSI |
SUALA MAALUMU KATIKA MAENDELEO | |
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
| UENDELEZAJI WA SEKTA BINAFSI | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Uendelezaji
wa Sekta Binafsi |
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
| MASUALA MAALUM YANAYOHUSU SEKTA ZOTE | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
UTAWALA
BORA
142. Katika mwaka 2003, serikali kwa kushirikiana na wadau wengine iliendelea kutekeleza programu mbalimbali ikiwa ni pamoja na Mkakati wa Taifa wa Kupambana na Rushwa kwa lengo la kuboresha na kuimarisha utendaji katika Serikali. Wizara, Idara zinazojitegemea na Wakala ziliendesha warsha kwa watumishi wao kwa lengo la kujenga uelewa kuhusu tatizo la rushwa katika sekta zao. Serikali ilitenga sh. 80 milioni kwa ajili ya kuziwezesha Wizara, Idara na Wakala kutekeleza shughuli za Mkakati wa Taifa wa Kupambana na Rushwa. Kitengo cha Kuratibu Masuala ya Utawala Bora kiliendelea kuandaa taarifa za utekelezaji kila robo mwaka na kuzisambaza kwa wadau wa vita dhidi ya rushwa. Aidha, Serikali iliendelea kuchukua hatua za kisheria, kiutawala na kinidhamu kwa waliobainika kuhusika na vitendo vya rushwa. 143. Juhudi za serikali zilielekezwa katika kuimarisha uwezo wa wananchi kuzidisha mapambano dhidi ya rushwa. Wananchi walielimishwa na kuhamasishwa juu ya haki zao, mbinu za kutambua na kukabiliana na vitendo vya rushwa, mbinu za kutoa taarifa za rushwa kwenye vyombo vya dola na namna ya kujikinga dhidi ya athari zinazotokana na kuwaumbua wala rushwa. Katika kutekeleza azma hiyo, Taasisi ya Kuzuia Rushwa iliandaa na kurusha hewani jumla ya vipindi 224. Vipindi vilirushwa hewani na Radio Tanzania, Radio Maria ya Songea, Radio Kuizera ya Ngara, Radio Chemichemi ya Sumbawanga, Radio Faraja ya Shinyanga na Radio Sauti ya Injili Moshi. Pia, vikundi 34 vya sanaa vilihamasishwa kuelimisha umma kuhusu madhara ya rushwa. 144. Katika kuhakikisha serikali inasimamia utekelezaji wa maadili ya Viongozi wa Umma kwa mujibu wa Sheria ya Maadili na Miiko, Sekretariati ya Maadili ya Viongozi wa Umma iliendelea kupokea, kuchambua na kuhakiki taarifa ya mali na madeni ya viongozi zinazotolewa kwenye hati rasmi ya kutolea tamko. Aidha, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi imeanzisha ofisi za kanda ili kusogeza huduma zinazotolewa na Sekretarieti karibu zaidi na wananchi. Jinsia 146. Katika mwaka 2003, serikali ilitoa mafunzo ya awali kwa maafisa 30 walioteuliwa katika vitengo vinavyoshughulikia masuala ya jinsia katika taasisi za umma kuhusu majukumu yao na mbinu mbalimbali za kuwawezesha kushughulikia masuala ya jinsia katika maeneo yao. Vilevile, sera ya wanawake ilifanyiwa mapitio na kutafsiriwa katika lugha rahisi. Zaidi ya nakala 50,000 zilichapishwa na kusambazwa kwa wadau katika ngazi mbalimbali, kwa lengo la kuhamasisha na kuelimisha umuhimu wa kuzingatia masuala ya jinsia katika nyanja zote za uchumi na kijamii. 147. Katika kuendeleza azma ya kuleta usawa wa kijinsia nchini, serikali iliendelea kuongeza nafasi za ajira na kuwapa madaraka wanawake ambapo katika mwaka 2003 kwa upande wa utumishi wa ngazi ya kati, jumla ya watumishi 211 waliajiriwa na kati ya hao 63 sawa na asilimia 29.9 walikuwa wanawake. Kati ya watumishi 234 waliothibitishwa kazini wanawake walikuwa 71 sawa na asilimia 30.34. Jumla ya watumishi 8,060 walipandishwa vyeo, kati ya hao 2,434 walikuwa ni wanawake sawa na asilimia 30.2. Takwimu za utumishi wa ngazi ya juu zinaonyesha kuwa watumishi 105 waliteuliwa katika nyadhifa mbalimbali, kati ya hao 25 walikuwa ni wanawake, sawa na asilimia 23.81 ikilinganishwa na wanawake 17 sawa na asilimia 19.54 ya walioteuliwa mwaka 2002. Mwaka 2003 waliopandishwa vyeo walikuwa 267, kati ya hao 58 walikuwa wanawake, sawa na asilimia 21.72. Aidha, mwaka 2003, wanawake 61 walithibitishwa kazini katika nyadhifa mbalimbali; idadi hii ni sawa na asilimia 21.86 ya watumishi 218 waliothibitishwa ikilinganishwa na wanawake 36, sawa na asilimia 15.13 ya watumishi 238 waliothibitishwa kazini mwaka 2002.
Chanzo: Ofisi
ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma 148. Katika mwaka 2003, mradi wa mafunzo wa kuongeza ujuzi na uwezo wa watumishi wanawake serikalini ulidhamini jumla ya watumishi wanawake 20 katika fani mbalimbali za shahada ya uzamili ikilinganishwa na wanawake 17 mwaka 2002, ikiwa ni ongezeko la asilimia 17.7 Vilevile, wanawake 40 walidhaminiwa katika kozi za tarakishi ikilinganishwa na wanawake 26 waliodhaminiwa mwaka 2002. Aidha, katika mwaka 2003 serikali ilitayarisha taarifa ya utekelezaji wa mikakati na mipango mbalimbali ya kuleta usawa wa jinsia nchini kulingana na maazimio ya mpango wa utekelezaji wa Beijing pamoja na Mkutano Mkuu wa Tatu wa Baraza la Umoja wa Mataifa. Katika taarifa hiyo takwimu nyingi za kisekta pamoja na kiutawala zilibainishwa kijinsia ambapo taarifa kuhusu uwakilishi wa wanawake katika ngazi za utoaji maamuzi zilionyesha kuwa kuna ongezeko la asilimia 5.6 tu la wawakilishi wa wanawake katika ngazi zote. Kwa kiasi kikubwa ongezeko hilo limetokana na ongezeko la nafasi za uwakilishi kwenye ngazi za wakurugenzi wa wilaya, makamishina, wakurugenzi, wakurugenzi wasaidizi pamoja na majaji.
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
| Ngazi |
1997 |
2003 |
||||||
| |
Jumla |
Wanaume |
Wanawake |
Asilimia |
Jumla |
Wanaume |
Wanawake |
Asilimia |
| Mawaziri |
27 |
24 |
3 |
11.11 |
27 |
23 |
4 |
14.81 |
| Naibu Mawaziri |
16 |
13 |
3 |
18.75 |
17 |
12 |
5 |
29.41 |
| Wakuu wa Mikoa |
20 |
19 |
1 |
5 |
21 |
19 |
2 |
9.52 |
| Makatibu wakuu |
21 |
17 |
4 |
19.05 |
30 |
23 |
7 |
23.33 |
| Makamishina |
- |
- |
- |
|
19 |
16 |
3 |
15.79 |
| Makatibu wa Tawala wa Mikoa |
17 |
17 |
- |
0 |
20 |
16 |
4 |
20 |
| Wakuu wa Wilaya |
99 |
79 |
20 |
20.20 |
109 |
86 |
23 |
21.10 |
| Makatibu Tawala wa Wilaya |
109 |
89 |
20 |
18.35 |
99 |
85 |
14 |
14.14 |
| Wakurugenzi Wilaya |
- |
- |
- |
|
114 |
94 |
20 |
17.54 |
| Wakurugenzi |
- |
- |
- |
|
119 |
89 |
30 |
25.21 |
| Wakurugenzi Wasaidizi |
- |
- |
- |
|
153 |
118 |
35 |
22.88 |
| Mabalozi |
30 |
29 |
1 |
3.33 |
35 |
34 |
1 |
2.86 |
| Majaji |
36 |
33 |
3 |
8.33 |
49 |
42 |
7 |
14.29 |
| Mahakimu |
- |
- |
- |
|
115 |
82 |
33 |
28.70 |
| JUMLA |
375 |
320 |
55 |
14.67 |
927 |
739 |
188 |
20.28 |
| Ongezeko la wawakilishi wanawake
kutoka mwaka 1997 hadi 2003 ni asilimia 5.61 |
||||||||
Chanzo: Taarifa ya utekelezaji wa mazimio ya
Beijing kupitia Beijing Platform of Action
149. Katika mwaka 2003, Serikali iliandaa mafunzo kwa ajili ya kuhamasisha serikali za mitaa kuhusu utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Mazingira kwa kuhusisha halmashauri za miji na wilaya 45. Vilevile, wananchi na viongozi walishirikishwa katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika tarehe 5 Juni 2003, ambapo wizara, asasi na mikoa mbalimbali ziliwakilisha shughuli zao.
150. Tanzania iliendelea kutekeleza mikataba ya kimataifa inayohusu mazingira, ikiwa ni pamoja na ‘Agenda ya 21’ kuhusu maendeleo endelevu. Tanzania iliridhia mikataba mbalimbali ikiwemo mkataba wa Rotterdam unaohusu uthibiti wa biashara ya kimataifa ya baadhi ya kemikali hatari na madawa ya kuulia wadudu waharibifu; Itifaki ya Montreal kuhusu kemikali zinazoharibu ukanda wa ozoni angani; Itifaki ya Kyoto inayohusu kupunguza uzalishaji wa gesi zanazosababisha mabadiliko ya tabianchi; Mkataba wa Basel unaohusu uthibiti wa taka zenye sumu baina ya nchi na nchi; Itifaki ya Cartagena inayohusu bioteknolojia salama kwa matumizi ya binadamu na mazingira; na Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Kuenea kwa Hali ya Jangwa na Ukame. Aidha, taasisi zisizo za kiserikali zipatazo 7 zinazojishughulisha na mapambano dhidi ya kuenea kwa jangwa na ukame katika mikoa ya Mtwara, Morogoro, Dodoma, Shinyanga, Kagera na Rukwa zimepatiwa fedha chini ya utaratibu wa NAP-IFAD; na ushirikishwaji wa wananchi katika kuhifadhi mazingira uliimarishwa ikiwa ni pamoja na kutekeleza Kampeni ya Taifa ya Upandaji wa Miti. Miti ipatayo 47,863,257 ilipandwa ikilinganishwa na miti 82,671,132 iliyopandwa mwaka 2002
151. Programu ya Hifadhi ya Mazingira ya Ziwa Victoria iliendelea kutekelezwa kwa ushirikiano na taasisi na wadau mbalimbali. Dira ya Bonde la Ziwa Victoria ya miaka 10-15 iliandaliwa na kuwasilishwa kwenye Sekretariati ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Vilevile, mkataba wa ushirikiano wa hifadhi na uendelezaji wa mazingira ya ziwa Tanganyika ulikamilishwa na kuwekwa sahihi na Tanzania, Burundi, Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo na Zambia.
152.
Katika mwaka 2003, Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira
(NEMC) liliendelea kutekeleza shughuli mbalimbali za kuhifadhi mazingira
ikiwa ni pamoja na kuaandaa mikakati ya kusimamia utoaji wa elimu ya mazingira
nchini. Aidha, Baraza, kwa kushirikiana na wananchi na wadau wengine,
liliboresha matumizi endelevu ya maeneo ya pwani ambapo wananchi na wadau
wengine walipata ujuzi, elimu na utaalamu wa kuhifadhi maeneo ya Pwani,
na kuandaa mipango ya matumizi endelevu ya rasilimali zilizoko katika
maeneo chepechepe katika ukanda wa ziwa Victoria na Bonde la Kihansi.
Vilevile, Baraza lilifanya Tathmini ya Athari kwa Mazingira (TAM) kwa
zaidi ya miradi 24 ya maendeleo katika sekta za madini, ujenzi wa barabara,
kilimo, uvuvi, nishati na mawasiliano; na lilishirikiana na wadau mbalimbali
katika kubainisha, kutangaza na kuendeleza teknologia sahihi za hifadhi
ya mazingira.
UKIMWI
153. Ugonjwa wa UKIMWI ni janga kubwa la Taifa. Idadi ya watu waliogunduliwa kuwa na UKIMWI iliongezeka katika mwaka 2002 hadi kufikia watu 157,17 kutoka watu 144,498 mwaka 2001, sawa na ongezeko la watu 12,675 au asilimia 8.8. Wengi wa walioambukizwa ni wale ambao wako katika umri wa kati ya miaka 20 na 49, wengi wao wakiwa katika umri kati ya miaka 25-34 kwa wanawake na miaka 30-39 kwa wanaume. Kundi hili ndilo ambalo ni la nguvu kazi. Vijana chini ya miaka 20 wengi wao wameambukizwa au wako katika hatari ya kuambukizwa UKIMWI. Ili kukabiliana na janga hili, katika mwaka 2003 serikali iliendelea kutoa elimu ya afya kwa jamii hususan juu ya namna ya kuepuka kuambukizwa, na pia kuhimiza malezi katika vituo vya afya na majumbani kwa wagonjwa ili kuondokana na unyanyapaa.
154. Serikali imechukua hatua mbalimbali katika harakati za kupambana na ugonjwa huu. Hatua hizo zinajumuisha kuendelea kutekelezwa kwa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI unaozishirikisha sekta zote. Mpango umekuwa ukitoa umuhimu mkubwa katika tiba na mafunzo kwa wagonjwa wa UKIMWI; ushauri na upimaji kwa hiari; usalama wa damu; kutambua na kutibu magonjwa ya zinaa; kufuatilia mwenendo wa ugonjwa wa UKIMWI; kutoa elimu ya afya kuhusu UKIMWI; kufanya utafiti kuhusu UKIMWI; kuzuia maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto; ukiandaa mwongozo wa matibabu kwa watoaji wa huduma za afya kwa waishio na UKIMWI; ukihamasisha viongozi katika ngazi mbalimbali, wanafunzi na wananchi kwa jumla ili kubadili tabia na mienendo potofu; na kusambaza kondom za kike na kiume katika mikoa yote nchini kama njia mojawapo ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine ya zinaa. Mpango huu unatekelezwa katika ngazi mbalimbali, kuanzia ngazi ya taifa, mikoa hadi wilaya.
155. Tume ya Kudhibiti UKIMWI ambayo ni chombo chenye jukumu la kuratibu shughuli za UKIMWI nchini iliandaa Sera ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI mwaka 2001. Katika kutekeleza sera hii, tume iliandaa mkakati wa kudhibiti UKIMWI kutoka mwaka 2003 hadi mwaka 2007. Mkakati unaelezea na kutoa miongozo ya namna ya kutekeleza sera ya kudhibiti UKIMWI. Aidha kamati za kiufundi za masuala ya UKIMWI katika wizara ziliundwa. Kamati hizi zinawajibika kuratibu shughuli zote za UKIMWI katika wizara husika. Utafiti kuhusiana na madhara ya UKIMWI katika wizara ni moja ya maelekezo yaliyotolewa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI. Wizara zinatakiwa kufanya utafiti na kisha kuandaa mkakati wa wizara wa kudhibiti UKIMWI kwa kuzingatia hali ya halisi ya wizara, kama utafiti ulivyoonyesha.
156.
Majedwali namba 8.1 na 8.2 yanaonyesha watu walioambukizwa na kiwango
cha ongezeko na wanaombukizwa katika kipindi cha miaka 20 iliyopita kuanzia
1983 had 2002. Idadi ya waathirika nchini ni kubwa kuliko ile iliyotolewa
taarifa. Hii inaonyesha wazi kwamba UKIMWI bado ni tatizo sana katika
Taifa letu. Kwa kuzingatia taarifa za Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI,
mmoja tu kati ya waathirika watano ndiye anayetoa taarifa. Kulingana na
takwimu zilitolewa na Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI, mikoa yenye
kiasi kikubwa cha waathirika wa UKIMWI ni Mbeya, ikifuatiwa na Dar es
Salaam. Mkoa wenye kiasi kidogo ni Mara. Jedwali Namba 8.3 linaonyesha
matukio ya maambukizi kulingana na umri na jinsia.
| Mkoa |
Miaka |
|||||||||
| |
1983 |
1984 |
1985 |
1986 |
1987 |
1988 |
1989 |
1990 |
1991 |
1992 |
| Arusha |
0 |
0 |
0 |
10 |
47 |
217 |
433 |
647 |
1,117 |
1,637 |
| Coast |
0 |
0 |
1 |
4 |
79 |
224 |
465 |
938 |
1,676 |
2,215 |
| Dar es Salaam |
0 |
0 |
51 |
471 |
1,470 |
3,093 |
5,209 |
7,246 |
8,834 |
9,259 |
| Dodoma |
0 |
0 |
0 |
7 |
47 |
105 |
262 |
310 |
536 |
762 |
| Iringa |
0 |
0 |
1 |
3 |
68 |
305 |
374 |
728 |
2,281 |
3,334 |
| Kagera |
3 |
106 |
322 |
847 |
1,666 |
2,143 |
2,576 |
3,472 |
4,742 |
5,813 |
| Kigoma |
0 |
0 |
0 |
3 |
68 |
305 |
374 |
728 |
2,281 |
3,334 |
| Kilimanjaro |
0 |
1 |
8 |
36 |
207 |
455 |
571 |
966 |
2,060 |
3,707 |
| Lindi |
0 |
0 |
0 |
1 |
10 |
46 |
113 |
484 |
842 |
1,211 |
| Mara |
0 |
0 |
0 |
3 |
30 |
99 |
141 |
280 |
639 |
980 |
| Mbeya |
0 |
0 |
0 |
16 |
208 |
751 |
1,077 |
3,890 |
6,924 |
9,890 |
| Morogoro |
0 |
0 |
0 |
11 |
88 |
254 |
354 |
637 |
2,398 |
3,598 |
| Mtwara |
0 |
0 |
1 |
5 |
26 |
90 |
199 |
479 |
1,361 |
1,968 |
| Mwanza |
0 |
0 |
15 |
54 |
171 |
448 |
667 |
1,303 |
3,041 |
4,207 |
| Rukwa |
0 |
0 |
0 |
1 |
5 |
98 |
94 |
140 |
261 |
496 |
| Ruvuma |
0 |
0 |
0 |
20 |
46 |
81 |
210 |
571 |
1,197 |
1,807 |
| Shinyanga |
0 |
0 |
0 |
8 |
31 |
144 |
238 |
583 |
1,278 |
496 |
| Singida |
0 |
0 |
0 |
6 |
74 |
197 |
284 |
456 |
763 |
1,807 |
| Tabora |
0 |
2 |
5 |
6 |
59 |
232 |
525 |
927 |
1,400 |
1,972 |
| Tanga |
0 |
0 |
2 |
13 |
80 |
210 |
210 |
838 |
1,914 |
2,636 |
| Mahali pasipojulikana |
- |
- |
- |
- |
- |
- |
- |
1 |
1 |
1 |
| TANZANIA |
3 |
109 |
404 |
1,525 |
4,462 |
9,301 |
14,256 |
25,503 |
44,195 |
59,352 |
...........Jedwali linaendelea
ukurasa unaofuata
| Mkoa |
|
Miaka |
||||||||
| 1993 |
1994 |
1995 |
1996 |
1997 |
1998 |
1999 |
2000 |
2001 |
2002 |
|
| Arusha |
2,185 |
2,368 |
2,615 |
2,787 |
3,244 |
3,367 |
3,948 |
4,196 |
4,688 |
4785 |
| Coast |
2,740 |
3,023 |
3,268 |
3,559 |
3,796 |
4,266 |
4,375 |
5,348 |
5,580 |
5737 |
| D’salaam |
10,406 |
11,050 |
11,302 |
12,983 |
13,899 |
14,517 |
14,643 |
16,053 |
18,627 |
24501 |
| Dodoma |
1,028 |
1,294 |
1,608 |
1,938 |
2,517 |
2,641 |
2,748 |
2,941 |
3,170 |
3565 |
| Iringa |
4,462 |
4,674 |
4,785 |
4,883 |
5,008 |
5,031 |
5,076 |
5,179 |
5,298 |
5318 |
| Kagera |
6,646 |
7,064 |
7,223 |
7,426 |
7,671 |
7,881 |
8,310 |
8,529 |
8,976 |
9072 |
| Kigoma |
1,920 |
2,070 |
2,257 |
2,280 |
2,426 |
2,481 |
2,613 |
2,732 |
2,815 |
2860 |
| Kilimanjaro |
4,699 |
5,119 |
5,513 |
5,991 |
6,618 |
7,375 |
7,766 |
8,088 |
9,097 |
10042 |
| Lindi |
1,691 |
1,966 |
2,173 |
2,480 |
2,712 |
3,074 |
3,559 |
4,155 |
4,710 |
5008 |
| Mara |
1,304 |
1,393 |
1,486 |
1,486 |
1,486 |
1,515 |
1,634 |
2,021 |
2,229 |
2345 |
| Mbeya |
11,439 |
12,214 |
12,371 |
14,685 |
16,835 |
19,949 |
23,688 |
26,952 |
30,320 |
31172 |
| Morogoro |
4,328 |
4,575 |
4,903 |
5,189 |
5,438 |
5,534 |
5,863 |
6,388 |
6,820 |
7073 |
| Mtwara |
2,090 |
2,201 |
2,267 |
2,444 |
2,569 |
2,843 |
3,000 |
3,262 |
3,638 |
3886 |
| Mwanza |
5,349 |
5,731 |
5,974 |
6,365 |
7,006 |
7,384 |
7,884 |
8,338 |
8,752 |
9194 |
| Rukwa |
715 |
777 |
801 |
882 |
1,227 |
1,359 |
1,621 |
1,997 |
2,382 |
2706 |
| Ruvuma |
2,480 |
2,847 |
3,087 |
3,345 |
3,752 |
4,260 |
4,760 |
5,406 |
6,381 |
7080 |
| Shinyanga |
2,624 |
3,062 |
3,361 |
3,824 |
4,217 |
4,515 |
4,861 |
5,440 |
6,310 |
7174 |
| Singida |
1,472 |
1,688 |
1,908 |
2,135 |
2,167 |
2,262 |
2,329 |
2,396 |
2,692 |
2872 |
| Tabora |
2,786 |
3,075 |
3,428 |
3,805 |
4,278 |
4,733 |
5,199 |
5,946 |
6,349 |
6810 |
| Tanga |
3,207 |
3,475 |
3,793 |
4,062 |
4,278 |
4,632 |
4,792 |
4,975 |
5,620 |
5819 |
| Manyara |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
110 |
| Mahali pasipojulikana |
1 |
2 |
44 |
44 |
44 |
44 |
44 |
44 |
44 |
44 |
| Jumla |
73,572 |
79,668 |
84,167 |
92,593 |
101,188 |
109,863 |
118,713 |
130,386 |
144,498 |
157173 |
| Mkoa |
Matukio mwaka 2000 |
Kiwango cha matukio mwaka 2000 |
Matukio mwaka 2001 |
Kiwango cha matukio mwaka 2001 |
Matukio mwaka 2002 |
Kiwango cha matukio mwaka 2002 |
Idadi ya watu mwaka 2002 |
| Arusha |
248 |
12.2 |
492 |
23.6 |
97 |
7.5 |
1292973 |
| Pwani |
973 |
117.4 |
232 |
27.2 |
157 |
17.7 |
889154 |
| Dar es Salaam |
1,410 |
63.1 |
2,574 |
112.1 |
5874 |
235.2 |
2497940 |
| Dodoma |
193 |
11.7 |
229 |
13.5 |
395 |
23.3 |
1698996 |
| Iringa |
103 |
6.2 |
119 |
7.0 |
20 |
1.3 |
1495333 |
| Kagera |
219 |
11.7 |
447 |
23.3 |
96 |
4.7 |
2033888 |
| Kigoma |
119 |
10.1 |
83 |
6.8 |
45 |
2.7 |
1679109 |
| Kilimanjaro |
322 |
16.3 |
1,009 |
49.7 |
945 |
68.4 |
1381149 |
| Lindi |
596 |
71.6 |
555 |
64.9 |
298 |
37.7 |
791306 |
| Mara |
387 |
28.6 |
208 |
14.9 |
116 |
8.5 |
1368602 |
| Mbeya |
3264 |
155.6 |
3,368 |
156.1 |
852 |
41.2 |
2070046 |
| Morogoro |
525 |
30.7 |
432 |
24.6 |
253 |
14.8 |
1759809 |
| Mtwara |
262 |
24.1 |
376 |
33.7 |
248 |
21.9 |
1128523 |
| Mwanza |
454 |
17.8 |
414 |
15.8 |
442 |
15.0 |
2942148 |
| Rukwa |
376 |
34.5 |
385 |
34.4 |
324 |
28.4 |
1141743 |
| Ruvuma |