|
ACB |
Akiba Commercial Bank (Benki
ya Biashara Akiba) |
|
AFGEM |
African Gemstone (Kampuni
ya Uchimbaji wa Vito) |
|
AGOA |
African Growth and Opportunity
Act (Mpango wa Marekani wa Kusaida Maendeleo ya Afrika) |
|
ARI |
Acute Respiratory Infections
(Magonjwa ya Koo) |
|
ATA |
Africa Travel Association
(Chama cha Wenye kutoa Huduma za Safari Afrika) |
|
ATM |
Automatic Teller Machine (Mashine
ya kujihudumia katika benki) |
|
ATCL |
Air Tanzania Corporation Limited
(Shirika la Ndege Tanzania) |
|
c.i.f. |
cost insurance and freight
(thamani ya bidhaa ikijumuisha gharama za usafiri na bima) |
|
DAWASA |
Dar es Salaam Water and Sewarage
Authority (Mamlaka ya Maji safi na Majitaka Dar es Salaam) |
|
DRC |
Democratic Republic of Congo (Jamhuri ya Kidemokrasia
ya Kongo) |
|
EAC |
East African Community (Jumuiya
ya Afrika Mashariki) |
|
EBA |
Everything But Arms (Kila
Kitu Isipokuwa Silaha) |
|
EPZ |
Export Processing Zone (Eneo
la Usindikaji wa Bidhaa za Kuuza Nje) |
|
ESDP |
Education Sector Development
Programme (Mpango wa Maendeleo ya Sekta ya Elimu). |
|
EU |
European Union (Jumuiya ya
Nchi za Ulaya) |
|
EWURA |
Energy and Water Utilities
Regulatory Authority (Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za Maji
na Nishati) |
|
f.o.b. |
free on board (Thamani ya
Bidhaa bila Kujumuisha Gharama za Usafiri na Bima) |
|
FAO |
Food and Agriculture Organization
(Shirika la Kilimo na Chakula) |
|
FDI |
Foreign Direct Investment
(Uwekezaji Mitaji ya Moja kwa Moja) |
|
GPS |
Global Positioning System
(Mfumo wa Upimaji Katika Dunia) |
|
Gwh |
Gigawatt hour (Kipimo cha
Uzalishaji Umeme kwa saa) |
|
HANDICO |
Tanzania Handcraft Marketing
Company Limited (Kampuni ya Uuzaji wa Bidhaa Zinazotengenezwa
kwa Mikono Tanzania) |
|
HASHI |
Hifadhi Ardhi Shinyanga |
|
HBS |
Household Budget Survey (Utafiti
wa Mapato na Matumizi ya Kaya) |
|
HIPC |
Highly Indebted Poor Countries
(Nchi Maskini Zenye Madeni Makubwa) |
|
IFEM |
Inter-bank Foreign Exchange
Market (Soko la Fedha za Kigeni baina ya Benki) |
|
ILFS |
Integrated Labour Force Survey
(Utafiti wa nguvukazi) |
|
IMF |
International Monetary Fund
(Shirika la Fedha la Kimataifa) |
|
KIUTA |
Kiwanda cha Uchapishaji cha
Taifa |
|
MEM |
Mpango wa Maendeleo ya Elimu
ya Msingi |
|
MOI |
Muhimbili Orthopeadic Institute
(Taasisi ya Mifupa Muhimbili) |
|
MTEF |
Medium Term Expenditure Framework
(Mfumo wa Matumizi wa Muda wa Kati) |
|
MW |
Megawatt (Kipimo cha Uzalishaji
Umeme) |
|
NAEP II |
National Agricultural Extension
Programme (Programu ya Kuimarisha Huduma za Ugani Awamu ya Pili) |
|
NEMC |
National Environment Management
Council (Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira |
|
NEDCO |
National Engineering and Design
Company (Kampuni ya Uhandisi na Ubunifu
Tanzania) |
|
NEPAD |
New Partnership for Africa’s Development
(Mpango Mpya wa Ushirikiano wa Kusukuma Maendeleo ya Nchi za
Afrika) |
|
NGO |
Non Governmental Organization
(Shirika Lisilo la Kiserikali) |
|
NMB |
National Micro finance Bank
(Benki ya Taifa ya Kutoa Mikopo Midogo Midogo). |
|
NSC |
National Steel Company (Kampuni
ya chuma ya Taifa) |
|
NSSF |
National Social Security Fund
(Mfuko wa Taifa wa Hifadhi
ya Jamii) |
|
NTC |
National Transport Corporation
(Shirika la Usafirishaji la Taifa) |
|
PER |
Public Expenditure Review
(Pitio la Matumizi ya Umma) |
|
PHC |
Primary Health Care (Matunzo
ya Afya ya Awali) |
|
PPF |
Parastatal Pension Fund (Mfuko
wa Pensheni wa Mashirika ya Umma) |
|
PRSP |
Poverty Reduction Strategy
Paper (Mkakati wa Kupunguza Umaskini) |
|
RAHCO |
Railway Holding Company (Kampuni
ya Kumiliki Reli) |
|
RETOSA |
Regional Tourism Organization
for Southern Africa Countries (Shirika la Utalii la Nchi za
Kusini mwa Afrika) |
|
RISDP |
Regional Indicative Strategies
Development Plan (Mkakati wa Mpango wa Maendeleo) |
|
SAA |
South African Airways (Shirika
la Ndege la Afrika Kusini) |
|
SADC |
Southern Africa Development
Community (Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika) |
|
SME |
Small and Middle Enterprises
(Viwanda/Vidogo Vidogo na vya Kati) |
|
SINOTASHIP |
Sino – Tanzania Shipping Company
(Kampuni ya Meli ya China na Tanzania) |
|
SUMATRA |
Surface and Marine Transport
Regulatory Authority (Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa Ardhini
na Majini) |
|
TABOA |
Tanzania Bus Owners Association
(Chama cha Wanaomiliki Mabasi Tanzania) |
|
TANESCO |
Tanzania Electric Supply Company
(Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania) |
|
TAS |
Tanzania Assitance Strategy
(Mkakati wa Ushirikiano na Wafadhili) |
|
TAZARA |
Tanzania Zambia Railway Authority
(Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia) |
|
TCAA |
Tanzania Civil Aviation Authority
(Wakala wa Mamlaka ya Usimamizi wa usalama wa Usafiri wa Anga) |
|
TCDC |
Technical Cooperation among
Developing Countries (Ushirikiano wa Kiufundi Baina ya Nchi Zinazoendelea) |
|
TCFB |
Tanzania Central Freight Bureau
(Shirika la Kudhibiti Shehena Tanzania) |
|
TCRA |
Tanzania Communication Regulatory
Authority (Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma ya Mawasiliano) |
|
TDFL |
Tanzania Development Finance
Limited (Taasisi ya Fedha kwa ajili ya Maendeleo Tanzania) |
|
THA |
Tanzania Harbours Authority
(Mamlaka ya Bandari Tanzania) |
|
TIC |
Tanzania Investment Centre
(Kituo cha Uwekezaji Tanzania) |
|
TISCO |
Tanzania Industrial and Scientific
Consulting Organization (Shirika la Ushauri wa Kisayansi na
Viwanda Tanzania) |
|
TNBC |
Tanzania National Business
Council (Baraza la Taifa la Mashauriano baina ya Serikali na
Sekta binafsi |
|
TPB |
Tanzania Postal Bank (Benki
ya Posta Tanzania) |
|
TPC |
Tanzania Post Corporation
(Shirika la Posta Tanzania) |
|
TPDC |
Tanzania Petroleum Development
Corporation (Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania) |
|
TPH |
Tanzania Publishing House
(Kampuni ya Uchapaji Tanzania) |
|
TRA |
Tanzania Revenue Authority
(Mamlaka ya Mapato Tanzania) |
|
TRC |
Tanzania Railway Corporation
(Shirika la Reli Tanzania) |
|
TTCL |
Tanzania Telecommunication
Company Limited (Kampuni ya Simu Tanzania) |
|
TAZARA
|
Tanzania Zambia Railway Authority
(Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia) |
|
UAE |
United Arab Emirate (Umoja
wa Nchi za Kiarabu) |
|
UDA |
Usafiri Dar es Salaam |
|
UKIMWI |
Ukosefu wa Kinga Mwilini |
|
UNDP |
United Nations Development
Programme (Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa) |
|
UNEP |
United Nations Environment
Programme (Shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira) |
|
UNFPA |
United Nation Fund for Population
Activities (Mfuko wa Umoja wa Maifa linaloshughulikia Idadi
ya Watu) |
|
VAT |
Value Added Tax (Kodi ya Ongezeko
la Thamani) |
|
VETA |
Vocational Education and Training
Authority (Mamlaka ya Elimu ya Ufundi na Mafunzo) |
|
VVU |
Virusi vya Ukimwi |
|
WADU |
Weka Akiba Daima Upatavyo |
|
WFP |
World Food Programme (Mpango
wa Chakula Duniani) |
|
WHO |
World Health Organization
(Shirika la Afya Duniani) |
|
WTO |
World Trade Organization (Shirika
la Kimataifa la Biashara) |
|
WUMT |
Western Union Money Transfer
(Shirika la Kusafirisha Fedha Kimataifa) |