MAENDELEO YA UCHUMI JUMLA | UENDELEZAJI WA SEKTA BINAFSI | MAENDELEO KATIKA SEKTA MBALIMBALI

 

 KIREFU/TAFSIRI YA MANENO YALIYOANDIKWA KWA UFUPI

AGOA

African Growth Opportunity Act (Mpango wa Marekani wa Kusaidia Maendeleo Afrika)

APRM

African Peer Review Mechanism( Mpango wa Kujitathmini na Kujipima wa Afrika)

ATCL

Air Tanzania Company limited (Shirika la Ndege Tanzania)

ATM

Automatic Teller Machine (Mashine ya kujihudumia katika Benki)

ATV

Agape Television (Televisheni ya Agape)

BOT

Bank of Tanzania (Benki Kuu ya Tanzania)

CBPP

Magonjwa ya homa ya mapafu ya mifugo

CEN

Cable Entertainment Network (Mtandano wa waya wa kutoa burudani)

CFS

Consolidated Funds (Mfuko Mkuu)

cif

Cost Insurance and Freight (thamani ya bidhaa ikijumuisha gharama za usafiri na Bima)

CTN

Coastal Television Network (Mtandao wa televisheni wa Pwani)

DSM

Dar es Salaam

DTV

Dar es Salaam Television (Televisheni ya Dar es Salaam)

EAC

East African Community (Jumuiya ya Afrika Mashariki)

EBA

Everything But Arms (Kila Kitu Isipokuwa Silaha)

EMS

Expedited Mail Services ( Huduma ya Haraka ya Utumaji Barua)

EWURA

Energy and Water Utilities Regulatory Authority (Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati)

FCC

Fair Competition Commission (Tume ya Ushindani wa Haki )

FCT

Fair Competition Tribunal (Mahakama ya Ushindani na Haki)

FDI

Foreign Direct Investment (Uwekezaji wa Mitaji ya Kigeni ya Moja kwa Moja)

fob

free on board (Thamani ya Bidhaa bila kujumuisha Gharama za Usafiri na bima)

GEF

Global Enviromental Fund (Mfuko wa Mazingira wa Dunia)

GER

Gross Enrolment Ratio (Kiwango cha Jumla cha uandikishwaji wanafunzi)

HADO

Hifadhi Ardhi Dodoma

HIPC

Highly Indebted Poor Countries (Nchi Maskini Zenye Madeni Makubwa)

HIV/AIDS

Human Immuno deficiency Virus/Acquired Immune Deficiency Syndrome (Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI)

IMF

International Monetary Fund (Shirika la Fedha la Kimataifa)

IPTL

Independent Power Tanzania Limited (Kampuni ya Uzalishaji wa Umeme unaotokana na mafuta)

JKT

Jeshi la Kujenga Taifa

MKU

Mkakati wa Kupunguza Umaskini (Poverty Reduction Strategy)

MKUKUTA

Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (National Strategy for Growth and Reduction of Poverty)

MKURABITA

Mkakati wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania

MMEM

Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi

MMES

Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari

NAFCO

National Agricultural and Food Corporation (Shirika la Taifa la Kilimo na Chakula)

NEPAD

New Partnership for Africa’s Development (Mpango wa Ushirikiano Mpya wa Kuleta Maendeleo Afrika)

NER

Net Enrolment Ratio (Kiwango Halisi cha Uandikishwaji Wanafunzi)

NMB

National Microfinance Bank (Benki ya Taifa ya Mikopo Midogo Midogo)

NSSF

National Social Security Fund (Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii)

PPF

Parastatal Pension Fund (Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma)

PSPF

Public Service Pension Fund (Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma)

RTD

Radio Tanzania Dar es Salaam.

SACCOS

Savings and Credit Cooperatives Societies (Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo)

SADC

Southern Africa Development Community (Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika)

SUMATRA

Surface and Marine Transport Regulatory Authority (Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini na Majini)

TACAIDS

Tanzania Commission for AIDS (Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania)

TANESCO

Tanzania Electric Supply Company (Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania)

TAKURU

Taasisi ya kuzuia Rushwa

TAZARA

Tanzania Zambia Railway Authority (Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia)

TCAA

Tanzania Civil Aviation Authority (Wakala wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usalama wa Usafiri wa Anga)

TCDC

Technical Cooperation among Developing Countries (Ushirikiano wa Kiufundi Baina ya Nchi Zinazoendelea)

TCRA

Tanzania Communication Regulatory Authority (Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania)

TIC

Tanzania Investment Centre (Kituo cha Uwekezaji Tanzania)

TRC

Tanzania Railway Corporation (Shirika la Reli Tanzania)

TTB

Tanzania Tourism Board (Bodi ya Utalii Tanzania)

TTCL

Tanzania Telecommunication Company Limited (Kampuni ya Simu Tanzania)

TUT

Tanzania Broadcasting Services (Taasisi ya Utangazaji Tanzania)

TVT

Tanzania Television (Televisheni ya Taifa)

UCLAS

University College of Land and Architectural Studies (Chuo Kikuu Kishiriki cha Ardhi na Usanifu Majengo)

UNDP

United Nations Development Programme (Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa)

VAT

Value Added Tax (Kodi ya Ongezeko la Thamani)

WTO

World Trade Organization (Shirika la Kimataifa la Biashara)

MATUKIO MUHIMU YA KIUCHUMI MWAKA 2004

Tarehe

Mwezi

Matukio  

17

Februari

Bunge laidhinisha muswada wa nyongeza ya matumizi ya fedha kwa mwaka 2003/2004.

2

Machi

Wakuu wa nchi tatu zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki za Tanzania, Kenya na Uganda watia saini itifaki ya ushuru wa pamoja mjini Arusha.

10

Juni

Siku ya Bajeti kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

8

Julai

Tanzania yasaini mkataba wa kujiunga na utaratibu unaotoa fursa kwa nchi kujitathmini na kujipima zenyewe (APRM) chini ya NEPAD.

29

Julai

Bodi ya wakurugenzi ya Benki ya Dunia yaidhinisha mkopo na msaada kwa Tanzania kwa ajili ya kuendeleza awamu ya pili ya Mkakati wa Kupunguza Umaskini.

15

Oktoba

Tanzania yateuliwa kuwa mwanachama wa muda katika baraza la usalama la Umoja wa Mataifa.

 

Novemba

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania laridhia itifaki ya Ushuru wa pamoja wa Afrika Mashariki.

1

Novemba

Makamu wa Rais Dr. Ally Mohamed Shein azindua Wiki ya Umaskini nchini na kufanya hitimisho la mchakato wa majadiliano ya maandalizi ya Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (MKUKUTA).

3

Novemba

Bunge lapitisha sera ya uwezeshaji wananchi kiuchumi.

8

Novemba

Mkutano wa pili wa mwaka wa Baraza la Biashara la Taifa wafanyika Royal Palm Hotel chini ya Mwenyekiti Rais Benjamin Mkapa.

9

Novemba

Mkutano wa ulinganifu na mfungamano wa misaada inayotolewa na wafadhili wafanyika Golden Tulip Hotel – Dar es Salaam.

18

Novemba

Rais Benjamin Mkapa afungua mkutano wa tisa wa bodi ya mfuko wa dunia wa kupambana na UKIMWI, malaria na kifua kikuu mjini Arusha.

20

Novemba

Viongozi wa nchi za ukanda wa maziwa makuu watia saini azimio la Dar es Salaam, lenye lengo la kuleta amani na maendeleo endelevu katika eneo la maziwa makuu.

 Jedwali Na. A (Takwimu muhimu katika Uchumi-Tanzania Bara) 

 
   
Back Top