Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Serikali Taratibu na Kanuni

Taratibu na Kanuni ni masharti muhimu kisheria yaliyotolewa na Sheria za Bunge kuwa ni utaratibu wa utekelezaji muhimu wa Sheria yenyewe.  Zinaweza kutumiwa kwenye Serikali  Kuu au Serikali ya Mitaa, mtu mmoja mmoja au kikundi kingine  chochote.  Taratibu na Kanuni zinatofautiana na maagizo ambayo ni matangazo rasmi ya utaratibu wa kiutawala kuhusu matukio mahsusi yanayohusisha Mamlaka Maalum na watu.  Taratibu na Kanuni kwa kawaida hutekelezwa na Mamlaka za usimamizi zilizoanzishwa kwa madhumuni au Mamlaka nyingine yoyote iliyoidhinishwa kwa mujibu wa Sheria.  Katika Sehemu hii utapata Taratibu na Kanuni mbalimbali.

Chagua kutoka kwenye orodha, kutafuta  Taratibu na Kanuni.


Kutoka Mwaka: Mpaka
Maneno Muhimu:

No Taratibu na Kanuni Mwaka Faili / Anuani Miliki
41 The Railway (Accident Investigation and Reporting Regulation) 2002 141.5 KB
42 Miongozo ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii(usajili wa wanachama) 2013 2013 3.8 MB
43 Kanuni za Kuzuia Kufungana kwa kufanya kazi na Ishara katika Shirika la Reli (kwa Kiingereza) 2009 123.7 KB
44 Kanuni za Leseni za Waimarishaji na Wasioimarisha Mizigo SUMATRA (kwa Kiingereza) 2011 596.0 KB
45 Kanuni za Viwango vya Kundi la Veti vya Lazima vya Uagizaji (kwa Kiingereza) 1998 27.1 KB
46 Kanuni za Mashirika ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (kwa Kiingereza) 2009 144.3 KB
47 Sheria za Utaratibu wa Tume ya Ushindani (kwa Kiingereza) 2010 158.6 KB
48 Kanuni za Wafanyakazi TangaUWASA (kwa Kiingereza) 1999 1.3 MB
49 Miongozo ya Shirikishi ya Tathmini ya Rasilimali ya Misitu na Mipango ya Usimamizi (kwa Kiingereza) 2004 349.9 KB
50 Kanuni za Usalama wa Mionzi katika Madini na Usindikaji wa Vipande vya Mionzi (kwa Kiingereza) 2011 2.9 MB
51 Kanuni za Ufungaji na Usafirishaji wa Nyenzo za Mionzi (kwa Kiingereza) 2011 3.1 MB
52 Mwongozo wa Mabaraza ya Katiba ya Asasi, Taasisi na Makundi ya Watu wenye Malengo Yanayofanana 2013 256.0 KB
53 Kauni za Ada na Tozo za Nishati ya Atomiki (kwa Kiingereza) 2011 994.2 KB
54 Mwongozo wa Muungano wa FCC (kwa Kiingereza) 2011 91.1 KB
55 Miongozo ya Maendeleo ya Utalii Pwani (kwa Kiingereza) 2003 395.5 KB
56 Sheria za Mamlaka ya Kiraia Anga za Kanuni za Maadili, Wajumbe wa Bodi na Wafanyakazi (kwa Kiingereza) 2008 3.1 MB
57 Viwango na Masharti ya Kuanzisha na Uendeshaji wa Uuguzi Binafsi na Huduma ya Uzazi katika Tanzania (kwa Kiingereza) 2007 297.4 KB
58 Kanuni za Mafunzo, Vyeti na Manning za Mfanya Biashara wa Meli (kwa Kiingereza) 2004 274.1 KB
59 Kanuni za Matibabu na Utupaji wa Chakula (kwa Kiingereza) 2006 1.7 MB
60 Kanuni za Usafirishaji wa Nyama (kwa Kiingereza) 2006 2.7 MB
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-01 13:47:40
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page