Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo MatangazoMadini

Tanzania inaelekea kuwa miongoni mwa nchi kubwa zenye madini barani Afrika, kutokana na rasilimali za madini iliyojaaliwa nazo. Marekebisho  ya uchumi yaliyofanyika katika nusu ya kwanza ya mwaka 1990, hasa kwa upande wa biashara na uwekezeji yameiwezesha sekta kuonyesha viwango vya juu vya ukuaji, na kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa wachimba madini wakubwa barani Afrika. Maendeleo haya yanaweza kuelezwa hasa kutokana na uchimbaji mkubwa wa dhahabu, kuanzia chini ya tani moja, mwaka 1998 hadi kiasi cha tani 40 mwaka 2010 na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya tatu kwa uchimbaji mkubwa wa dhahabu Afrika. Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti ya Wizara ya Nishati na Madini

 

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-06 13:47:40
Kufaa
5.0
3 Jumla
Inafaa Sana 3
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.7
3 Jumla
Rahisi Sana 2
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page