Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiElimu

Serikali ya Tanzania  imeanzisha juhudi nyingi za marekebisho ya sera na muundo ili kuimarisha ubora wa elimu na kuhakikisha elimu ya msingi kwa wote ili kuimarisha uhusiano kati ya elimu inayotolewa katika ngazi zote za maendeleo ya uchumi na jamii nchini Tanzania.

Elimu ina athari kubwa na muhimu kwa maendeleo ya kijamii na binadamu hasa katika kufuta ujinga wa kutojua kusoma, kuandika na kuhesabu, umaskini, uzazi, na afya ya mama na mtoto. Elimu ya Msingi ndicho kiwango cha elimu chenye athari kubwa kwa matokeo ya kijamii. Inachangia takriban asilimia 60 ya jumla ya athari, ambayo inahalalisha zaidi uhalali wa juhudi endelevu kuhakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanamaliza angalau elimu ya msingi; na Elimu inauhusiano mkubwa na mahitaji ya soko la ajira.

Viwango vya juu vya elimu huwezesha kipato kikubwa. Mshahara wa wafanyakazi wenye elimu ya sekondari ni muhimu zaidi na hivyo kuonyesha kuwa kuna upungufu mkubwa wa watu wenye sifa za elimu ya sekondari. Pia kuna uhusiano mkubwa kati ya mafunzo ya ufundi stadi na ajira ya wahitimu wa vyuo. Kwa jumla mapato ya wahitimu wa mafunzo ya ufundi stadi unalingana vizuri na watu waliojiajiri wenye elimu ya msingi au sekondari.

Sehemu hii inaainisha taarifa kamili zinazohusu huduma za elimu kuanzia shule za awali hadi chuo kikuu, mitaala ya elimu na jinsi gani wanafunzi wanaweza kupata taarifa za majibu ya mitihani, mikopo ya elimu ya juu, jinsi ya kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali. kwa taarifa zaidi tembelea tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

 

 

Elimu ya Mahitaji Maalum Elimu ya Awali
Elimu ya Msingi Elimu ya Sekondari
Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi Ukaguzi wa Shule
Elimu ya Ualimu Elimu ya Juu
Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania Distance Education
Waliochaguliwa kujiunga na Elimu ya Juu Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne(CSEE)
Matokeo ya Mtihani wa Taifa-ACSEE na Ualimu Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-01 16:07:58
Kufaa
3.8
11 Jumla
Inafaa Sana 6
Inafaa Kiasi 2
Sina Hakika 0
Haifai Sana 1
Haifai Kabisa 2
Urahisi wa kutumia
3.0
9 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 4
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 2
Si Rahisi kabisa 2

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page