Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiSheria na Taratibu

Udumishaji wa Sheria na Taratibu ni majukumu makuu ya serikali. Kimsingi ni sababu ya kuwepo kwa Dola/Taifa. Pia ni jiwe la msingi la kudumishia sheria na taratibu katika jamii ya kidemokrasia na yenye uhuru na mpango mkuu wa utawala bora na kutetea Utawala wa Sheria, ambayo ni dhima ya Taasisi za Sekta. Kwa mtazamo, utengaji wa mafungu ya Serikali hufanywa kama kipaumbele cha juu zaidi kutosheleza ugharimiaji wa shughuli na utolewaji wa fedha kwa wakati. Kwa hiyo Serikali ilianzisha mchakato wa PER kwa bajeti za Ofisi ya Mwanasheria wa Serikali, Mahakama, Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Polisi na Magereza.Soma zaidi ujue jinsi ya kudumisha sheria na taratibu.

Huduma za Mahakama Msaada wa Kisheria
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-01 19:15:02
Kufaa
3.4
7 Jumla
Inafaa Sana 2
Inafaa Kiasi 2
Sina Hakika 1
Haifai Sana 1
Haifai Kabisa 1
Urahisi wa kutumia
2.5
2 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 1

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page