Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuUtamaduni

Mwalimu Nyerere alishawahi kusema utamaduni ni kiini cha taifa lolote,nchi isiyo na utamaduni wake ni sawa na mkusanyiko wa watu wasio na roho ambayo inayofanya taifa.Tanzania imeelezwa kuwa ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye utamaduni anuwai ambao unadhihirika kutokana na Lugha za zaidi ya makabila 158 zinazotumika nchini. Kiswahili ni lugha ya Taifa inayozungumzwa sana wakati Kiingereza ni lugha rasmi ya elimu, utawala na biashara.

Wenyeji wa Tanzania ni Waafrika kwa asilimia 99 miongoni mwao asilimia 95 ni Wabantu wenye makabila 158 na waliobakia asilimia 1 ni Waasia, Wazungu na Waarabu. Watanzania wengi ni wadini ya Kikristo na Kiislamu na dini za kimila ingawa kuna idadi ndogo ya Wahindu na Wapagani.Kwa jumla utamaduni wa Tanzania ni matokeo ya athari za kiafrika, kiarabu, kizungu na kihindi. Maadili, mila na desturi za Kiafrika zinabadilishwa polepole na maisha ya kisasa, ingawa kwa kasi ndogo sana miongoni mwa jamii ya Wamasai. Kipengelee hiki kinakuletea mambo yanayohusiana na Utamaduni ikiwemo Watu na Maisha,Taasisi zinazojishughulisha na Utamaduni,Makabila,Sana za Maonesho pamoja na Sanaa na Fasihi. 

Watu na Maisha Asasi Zinazohusu Utamaduni
Makabila Sanaa za Maonesho
Michoro na Fasihi
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2018-10-12 11:45:07
Kufaa
4.6
16 Jumla
Inafaa Sana 10
Inafaa Kiasi 5
Sina Hakika 1
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.2
11 Jumla
Rahisi Sana 8
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 3
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page