Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuUrithi

Licha ya utajiri mkubwa iliyo nao wa maliasili kama vile wanyamapori, maeneo ya maji kama bahari, maziwa na mito, madini, Tanzania imejaliwa kuwa na wingi wa urithi wa utamaduni na maliasili unaojumuisha mambo ya zama za kale za viumbe na rasilimali za kihistoria za kuanzia miaka milioni nne iliyopita hadi sasa.

Tanzania kama zilivyo nchi nyingine duniani inalinda urithi wa kiutamaduni kisheria. Kulindwa kisheria kwa urithi wa kiutamaduni unaoshikika uko chini ya Sheria ya Mambo ya Kale ya Mwaka 1964 (Sheria Nam. 10 ya Mwaka 1964, Sura ya 550) ambayo ni Sheria Kuu na Sheria ya Mambo ya Kale(Marekebisho) ya Mwaka 1979(Sheria Nam.22 ya Mwaka 1979) chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii. Pata taarifa za aina ya urithi wa asili na wa kiutamaduni na sheria zake. 

Sheria ya Urithi wa Utamaduni Aina za Urithi
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-01 20:48:34
Kufaa
4.0
1 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.0
1 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page