Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliNyaraka

Serikali inatoa nyaraka kwa madhumuni ya kutoa miongozo kuhusu sheria mpya na kutoa maelekezo kuhusu kanuni za mwenendo bora au “maadili mema”, kuomba taarifa kutoka kwa wahusika katika eneo lililofafanuliwa kisheria na kuwatahadharisha wanaohusika wakati wa kuzinduliwa kwa machapisho ya Serikali au Kampeni.  Sehemu hii inaeleza kwa muhtasari nyaraka mbalimbali za Serikali zilizotungwa tangu tupate uhuru, zikiwemo zilizorekebishwa.


No Nyaraka Mwaka Faili / Anuani Miliki
1 Waraka wa Mkuu wa Utumishi wa Umma Na.1 wa Mwaka 2015 Kuhusu Utaratibu wa Watumishi wa Umma wanaogombea Nyadhifa za Kisiasa nchini 2015 2.3 MB
2 Waraka wa Utumishi Na. 1 wa Mwaka 2015-Mwongozo wa Ufuatiliaji wa Uzingatiaji wa Maadili 2015 2.0 MB
3 Waraka wa Utumishi Na. 1 wa Mwaka 2015 Utaratibu wa Malipo ya Posho ya Kukaimu Cheo cha Madaraka (Superlative Substantive Post) 2015 1.7 MB
4 Waraka Kuhusu Mavazi ya Watumishi wa Umma, Waraka No.3 2007 71.2 KB
5 Waraka Kuhusu Huduma Kwa Watumishi wa Umma Wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi, Waraka No.2 2006 64.8 KB
6 Waraka wa Mafunzo Elekezi ya Awali kwa Watumishi wa Umma, Waraka Na.4 2005 77.8 KB
7 Waraka wa Viwango vya Malipo ya Posho ya Simu na Umeme kwa Watendaji Wakuu Wenye Stahili ya Kulipiwa Huduma Hizi, Waraka Na.2 2005 57.6 KB
8 Waraka Kuhusu Utekelezaji wa Sheria ya Utumishi wa Umma, Waraka Na.1, Sheria Na.8 ya 2002 2004 362.8 KB
9 Kikomo cha Siku ya Kuwa Nje ya Kituo cha Kazi kwa Watumishi wa Umma, Waraka Na.7 2004 99.7 KB
10 Waraka wa Utekelezaji wa Miundo ya Utumishi, Waraka Na.1 2004 179.6 KB
11 Utaratibu wa Watumishi wa Umma Wanaojiunga na Chuo Kukuu, Waraka Na.1 2003 74.5 KB
12 Umri wa Kustaafu, Waraka Na.3 2002 94.3 KB
13 Waraka wa Utundikaji na Upeperushaji wa Bendera ya Taifa, Raisi na Picha za Viongozi Waraka Na.2 2000 212.8 KB
14 Waraka wa Ajira za Raia wa Kigeni Katika Utumishi wa Umma, Waraka Na.1 2000 596.0 KB
15 Utaratibu wa Uhamisho wa Wafanyakazi, Waraka Na.1 1999 159.4 KB
16 Rekebisho A Kwa waraka wa Utumishi Na.1 1999 54.2 KB
17 Taratibu za Utendaji Kazi Katika Muundo Mpya wa Tawala za Mikoa, Waraka Na.1 1998 314.0 KB
18 Mwongozo wa Kushughulikia Watumishi wa Mashirika, Waraka Na.7 1995 430.9 KB
19 Waraka wa Utaratibu wa Kudhamini Maafisa wa Serikali Na.5 1995 470.9 KB
20 Waraka wa Watumishi Toleo la pili la Kanuni za Kudumu Na.4 1995 75.7 KB
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-07 11:27:22
Kufaa
4.0
5 Jumla
Inafaa Sana 3
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 1
Urahisi wa kutumia
5.0
3 Jumla
Rahisi Sana 3
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page