Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuSikukuu na Sherehe za Taifa

Sherehe za Taifa Tanzania kwa kawaida zimeanzishwa kwa mujibu wa Sheria za Tanzania  na  watu huwa wanapumzika. Sherehe za Taifa ni maadhimisho ya matukio ya kihistoria kama vile Sherehe za Mapinduzi Zanzibar ( Januari 12)Sherehe za Muungano ( Aprili 26) , Sikukuu ya Wafanyakazi ( Mosi Mei), Saba Saba( Julai 7) iliyokuwa inaadhimisha kuanzishwa kwa TANU na hivi sasa inajulikana kama Maonyesho ya Kimataifa ya  Biashara; Sikukuu ya Wakulima – Nane Nane ( Agosti 8), Sherehe za Uhuru ( Desemba, 9) na Mbio za Mwenge wa Uhuru  ambazo kilele chake ni Oktoba 14 ambayo ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha Mw. Julius Kambarage Nyerere. Sehemu hii inakuletea sherehe za kitaifa na kimataifa ambazo zinasherehekewa kitaifa.

Sherehe za Maadhimisho ya Uhuru Siku Kuu ya Wafanyakazi
Sherehe za Mapinduzi Zanzibar Mbio za Mwenge wa Uhuru
Siku Kuu ya Wakulima( Nane Nane) Saba Saba
Sherehe za Muungano Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano
Wiki ya Utumishi wa Umma
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-02 06:00:00
Kufaa
3.3
4 Jumla
Inafaa Sana 1
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 1
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 1
Urahisi wa kutumia
3.3
3 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 1

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page