Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo BiasharaKuanzisha Biashara

Kuanzisha biashara nchini Tanzania si uamuzi mmoja bali ni mfululizo wa uamuzi, kila uamuzi ni hatua muhimu ya kuelekea kwenye uzinduzi wenye mafanikio. Sehemu hii inakupa taarifa kuhusu mwelekeo wa msingi unaotakiwa kabla ya kuanza biashara ikiwemo kuandaa biashara yako, sheria na usimamizi, kulinda haki ya ubunifu, kupanga biashara, utunzaji fedha, kugharamia biashara, bima, mambo ya msingi kuhusu waajiri, kutafuta wafanyakazi, kufunza wafanyakazi na kodi.

Uthibitishaji wa Jina la Kampuni
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-02 07:33:32
Kufaa
3.3
12 Jumla
Inafaa Sana 4
Inafaa Kiasi 3
Sina Hakika 1
Haifai Sana 1
Haifai Kabisa 3
Urahisi wa kutumia
3.5
8 Jumla
Rahisi Sana 3
Rahisi Kiasi 2
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 2
Si Rahisi kabisa 1

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page