Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo BiasharaKusimamia Biashara

Kusimamia biashara kunahitaji mambo mengi zaidi ya kuwa na maarifa ya desturi muhimu za biashara. Kunahitaji maarifa, nidhamu, stadi za kutanzua tatizo, nia thabiti na kuhimili. Shughuli nyingine za usimamizi wa biashara ni pamoja na fedha, orodha ya vifaa, wafanyakazi, zana, mitambo, masoko, mauzo, wateja na ukuaji. Vyote hivyo vinahitaji usimamizi wenye ustadi. 

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-02 08:20:18
Kufaa
5.0
2 Jumla
Inafaa Sana 2
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
5.0
2 Jumla
Rahisi Sana 2
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page