Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuFedha ya Tanzania

Shilingi ya Tanzania (Tsh.) imegawanywa katika senti 100. Noti ni za shilingi  500, 1000, 2000, 5000 na 10000. Sarafu ni za 5, 10, 20, 50, 100 na 200. Fedha zinaweza kubadilishwa benki, kwenye maduka ya kubadilisha fedha na vituo vingine vilivoidhinishwa kama vile hoteli. Kadi za kutolea hela mfano: Access, Master Card, Visa, American Express, Euro Card, Dinners n.k. zinakubaliwa katika hoteli kubwa nchini. Hundi za wasafiri zikiwa katika dola ya Marekani na pauni ya Uingereza zinapendekezwa ingawa na Euro zinakubaliwa. Saa za kazi za benki katika miji mingi mikubwa ni kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa (2.30 asubuhi- 10 alasiri), Jumamosi ni kuanzia 2.30 asubuhi- 7.30 adhuhuri na hufungwa siku za Jumapili na sikukuu. Mashine za ATM zipo na zinapokea Visa kadi nyingi. Kwa taarifa zaidi tembelea: Benki Kuu ya Tanzania

Utoaji wa Noti za Benki Noti na Sarafu Zilizoharibika
Sarafu za Kumbukumbu Noti zinazotumika
Noti zilizoondolewa katika Matumizi Alama za Usalama
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-09 08:20:18
Kufaa
5.0
2 Jumla
Inafaa Sana 2
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
3.3
4 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 1
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 1

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page