Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo BiasharaUgharimiaji Biashara

Iwe kuanzisha, kuendesha au kupanua, katika hatua fulani, takribani wamiliki wa biashara wote lazima watafute fedha za kuifanya biashara ikue. Taasisi nyingi za mitaji midogo nchini Tanzania hutoa mikopo isiyo na bima ilimradi uwe na mpango mzuri wa biashara. Kwa mfano, Program ya Mkopo ya Juhudi ni aina hiyo ya program kutoka Benki ya NMB. Programu ya Mikopo ya Juhudi pia inatoa mafunzo ya stadi za biashara, ambayo ni ziada wakati unapohitaji mkopo. Benki ya Posta Tanzania (TPB) pia inatoa mikopo ya biashara.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-02 09:53:50
Kufaa
5.0
4 Jumla
Inafaa Sana 4
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
2.7
3 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 1
Si Rahisi kabisa 1

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page