Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo BiasharaUchumi wa Tanzania

Katika kipindi cha mwaka 2001-2010 pato halisi la Tanzania(GDP) limeonyesha kiwango cha wastani wa kukua cha 7%. Ukuaji ulishuka mwaka 2009 na kuwa 6.0%, hasa kutokana na kudorora sana kwa ukuaji wa uchumi duniani. Hata hivyo ulirudia kwenye 7% mwaka 2010. Sekta zilizoonyesha viwango vya ukuaji vya zaidi ya 10% katika mwaka 2010 ni mawasiliano,(22.1%), ikifuatiwa na Ujenzi, Umeme na Gesi (10.2%) na Taasisi za Fedha(10.1%). Mwaka 2010, Sekta zilizokuwa na mchango mkubwa kwenye ukuaji wa GDP ni Biashara na Matengenezo, Kilimo, Utengenezaji Bidhaa na Milki/Majengo na Huduma za Biashara.

Zaidi ya hayo, uchumi unategemea zaidi kilimo, ambacho ni zaidi ya robo ya GDP, kinatoa 85% ya mauzo ya nje, na kuajiri kiasi cha 75% ya wafanyakazi.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-02 10:40:36
Kufaa
3.2
11 Jumla
Inafaa Sana 3
Inafaa Kiasi 3
Sina Hakika 1
Haifai Sana 1
Haifai Kabisa 3
Urahisi wa kutumia
3.0
4 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 1
Si Rahisi kabisa 1

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page