Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo MatangazoAfya

Sekta ya Afya ni sekta muhimu ya huduma kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumi katika nchi yoyote. Kiwango cha maendeleo cha nchi yoyote ni matokeo ya nguvu kazi iliyopo ndani ya nchi kwa maneno mengine, rasilimali watu ni mtaji muhimu sana unaotumika. Uwezo wa mwili na akili ni muhimu kwa tija/matokeo.

Unaweza kupata taarifa kamili zinazohusu maendeleo ya program mbalimbali, Sera na mipango mbalimbali za Sekta ya Afya inayolenga kuwa na huduma za afya zenye ubora wa hali ya juu, zenye tija na zinazowafikia watu wote, zinazotolewa na mfumo wa afya wa taifa wenye utendaji bora na endelevu. Sekta ya Afya ina Huduma za Afya za Halmashauri (katika wilaya au manispaa), zinazojumuisha afya ya kaya na jamii, zahanati na vituo vya afya (vya umma na binafsi) na hospitali za wilaya na hospitali nyingine (za umma na binafsi). Nyingine ni Huduma za Afya za Mkoa, zinazojumuisha Hospitali za Rufaa za Mkoa na Timu za Menejimenti za Afya za Mkoa pamoja na Huduma za Ngazi ya Taifa zinazojumuisha Hospitali zenye taaluma maalumu na Hospitali Maalumu (za Umma na binafsi), Taasisi za Mafunzo, Vituo vya Rasilimali vya Kanda na Wizara, Idara na Wakala

Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii

 

Maji Chakula na Lishe
Mamlaka ya Chakula Dawa Bohari ya Dawa
Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania BIMA YA AFYA
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-02 13:00:54
Kufaa
3.5
4 Jumla
Inafaa Sana 2
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 2
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.0
3 Jumla
Rahisi Sana 2
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 1
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page