Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjePasipoti

Serikali ya Tanzania inatoa aina mbalimbali za pasipoti na hati za kusafiria kama ilivyoelezwa kwenye  Sheria ya Pasipoti na Hati za Kusafiria ya 2002 na Kanuni za 2004. Kamishna Mkuu wa Uhamiaji ndiye mwenye Mamlaka ya kuidhinisha kutolewa kwa pasipoti. Kwa sasa pasipoti zinaandaliwa Makao Makuu ya Uhamiaji, Dar es Salaam na Ofisi Kuu ya Uhamiaji, Zanzibar. Sehemu hii inakufahamisha mahitaji na sifa za uombaji wa pasipoti mpya au kuhuisha pasipoti.  Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Idara ya Uhamiaji.

Aina za Pasipoti Viambatisho vya Maombi ya Pasipoti
Ubadilishaji wa Pasipoti na Hati za Kusafiria Masharti ya Maombi ya Hati za Kusafiria
Ubatilishaji wa Pasipoti na Hati za Kusafiria Kubadilisha Pasipoti iliyoibwa au Kupotea
Ada za Pasipoti na Hati za Kusafiria
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-02 15:21:12
Kufaa
4.9
7 Jumla
Inafaa Sana 6
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
3.6
5 Jumla
Rahisi Sana 3
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 1
Si Rahisi kabisa 1

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page