Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Mwanzo Biashara

Sehemu hii ni kwa ajili ya mwongozo wa msingi kuhusu namna ya kuanzisha biashara na kuisimamia kwa mwekezaji anayetarajiwa na Mtanzania.Ili kuanzisha biashara kunahitajika uthibitisho, vibali na leseni vya mwanzishaji kutoka mamlaka husika. Pata  taarifa ya jinsi ya kuanzisha biashara, kuisimamia, kuikuza na kuigharamia katika sehemu hii. taarifa nyingine zinahusu huduma za kukodi, kisheria, biashara na utozaji kodi.

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-01 08:20:18

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page