Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeUwekezaji Tanzania

Tanzania ina maliasili nyingi hasa kwa ajili ya kilimo, madini, nishati na utalii. Tanzania ina hekta milioni 44 za ardhi ya kilimo, na 5% tu ndiyo inayolimwa. Rasilimali hizo ni pamoja na almasi, mawe ya vito, dhahabu, makaa ya mawe, chuma, nikeli, bidhaa za misitu, mifugo, wanyamapori, uvuvi na bidhaa za mjini, gesi asili na pengine mafuta. Bidhaa za kuuza nje kutokana na thamani ni pamoja na tumbaku, dhahabu, wakati bidhaa muhimu zinazoingizwa kutoka nchi za nje ni bidhaa za mtaji na za matumizi. Serikali ya Tanzania (GOT) kwa kawaida ina mwelekeo mzuri kuhusu mwekezaji wa kigeni wa moja kwa moja(FDI) na imepata mafanikio makubwa katika kushawishi FDI.Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC) kilianzishwa kwa sheria ya 1997 ya Uwekezaji Tanzania, ndipo mahali pa maulizo yote kuhusu wawekezaji,huchuja uwekezaji wa kigeni, na huwezesha kuanzisha kwa mradi. TIC imepewa mamlaka ya kusimamia ubia wa Sekta Binafsi na Sekta ya Umma(PPP), kwa kampuni za kigeni chini ya Sheria ya PPP inayoweka mfumo kwa ajili ya utaratibu wa kujenga-kuendesha-kuhamisha na kampuni za binafsi kujiandikisha TIC si lazima kisheria, lakini hutoa vivutio na motisha kwa kampuni za ubia na wa Tanzania na miradi inayomilikiwa moja kwa moja na wageni yenye zaidi ya Dola za Marekani 300,000.

EPZA TIC
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2016-03-31 04:05:48
Kufaa
4.7
3 Jumla
Inafaa Sana 2
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.8
4 Jumla
Rahisi Sana 3
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page