Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUtaliiSehemu za kutembeleaMiji na majiji

Licha ya vivutio vya asili vilivyopo Tanzania, Miji na Majiji ya nchi pia huwa maeneo ya kuvuvia na kutembelea, yenye vitu vingi vya kufanya na kuona. Majiji mengi ya mwambao wa Tanzania ilikuwa miji ya bandari ambapo bidhaa zenye thamani zilizosafirishwa kuvuka Bahari ya Hindi kwa majahazi. Miji mingi ya Bara ilikuwa vituo muhimu vya kupumzikia kwa misafara ya biashara iliyokuwa ikielekea Afrika kati au Ziwa Victoria au wakati wa kurudi kwenda mwambao wa Afrika Mashariki. Kwenye Nyanda za juu za Kaskazini Miji mikuu mingi iliasisiwa na Wajerumani kama vituo vya utawala wa kikoloni na kilimo. Hivi sasa, Miji na Majiji ya Tanzania imebaki kushughulikia biashara na kilimo, na vituo vya shughuli za kiuchumi mikoani kwao. Licha ya umuhimu wa majiji hayo kwa uchumi wa nchi, Miji na Majiji ya Tanzania ina maeneo mengi ya kihistoria na utamaduni yanayopendwa na wageni.

Arusha Bagamoyo
Bukoba Dar es salaam
Dodoma Iringa
Karatu Kigoma
Kilwa Mbeya
Mikindani Morogoro
Moshi Mwanza
Mtwara Musoma
Pangani Tabora
Tanga Zanzibar
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-22 17:41:30
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page