Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUtaliiMambo ya kufanyaUvuvi

Maji ya bahari ya mwambao wa Tanzania yanafaa kwa uvuvi wa samaki wakubwa, unaofanywa zaidi kwenye kisiwa cha Mafia.  Samaki wengi na wakubwa wanapatikana hapa, ikiwemo papa, kolekole, samsuli na change kwa kutumia boti zenye mashine na vifaa vya uvuvi, vinapatikana kwa kukodi kutoka kwenye hoteli kisiwani hapo. Uvuvi wa samaki unaweza kufanyika bahari kuu au bara.

 

Uvuvi katika Bahari Kuu Uvuvi katika maziwa na mito
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-26 09:53:50
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page