Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUtaliiMambo ya kufanyaKutembelea Sokwe mtu.

Makundi ya Sokwe mtu pori wanaishi kwenye Hifadhi ya  Taifa Mto Gombe na Mahale (www.tanzaniaparks.com) kwenye fuko za Ziwa Tanganyika. Hifadhi mbili hizo zote zina mandhari ya kuvutia yenye milima yenye mabonde yenye misitu na kuingia Ziwani na miongoni mwa maeneo machanche barani Afrika ambako mtu anaweza kuona Sokwe mtu katika makazi na mazingira ya asili. Misafara inaweza kutayarishwa kuyafuata makundi hayo na kuwa na uhakika wa kuwaona.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-26 15:21:12
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page