Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliSheria

Sheria zinazotumika Tanzania ni sheria zilizotungwa na kupitishwa na Bunge au Baraza la Wawakilishi. Kuna Sheria za  Kimila na za mapokeo (kama vile Sheria zisizoandikwa). Sheria ya Mapitio ya Sheria ya Mwaka 1994, Sura ya Nne ya sheria ya  20 Tanzania (Toleo lililopitiwa mwaka 2002) imerasimisha kuwa sheria zote zilizokuwa  zikitumika na kutungwa na Serikali za kikoloni kabla ya uhuru zilizoitwa “Ordinance”, hivi sasa zinakuwa Amri / maagizo Rasmi, na zinatambuliwa rasmi kisheria kama Sheria za Tanzania. Sheria hizo kuu na Sheria ndogo ndogo zinahusiana, zinachapishwa kwenye Gazeti la Serikali na kuchapwa na Mpiga Chapa wa Serikali. Kwenye sehemu hii utapata taarifa kuhusiana na Sheria zote zinazotumika nchini Tanzania na marekebisho yake.

Chagua kutoka kwenye orodha, kutafuta Sheria zinazotumika Tanzania.


Kutoka Mwaka: Mpaka
Maneno Muhimu:

No Sheria Mwaka Faili / Anuani Miliki
41 THE VALUE ADDED TAX ACT, 2014 2014 1.9 MB
42 SHERIA YA KURATIBU AJIRA ZA WAGENI NCHINI, 2014 2014 289.4 KB
43 THE WRITTEN LAWS (MISCELLANEOUS AMENDMENTS) ACT, 2014 2014 552.5 KB
44 APPROPRIATION ACT, 2015 2015 365.2 KB
45 THE TANZANIA EXTRACTIVE INDUSTRIES (TRANSPARENCY AND ACCOUNTABILITY) ACT, 2015 2015 846.0 KB
46 THE COMMODITY EXCHANGES ACT, 2015 2015 503.6 KB
47 THE FINANCE ACT, 2015 2015 605.3 KB
48 THE TANZANIA POSTAL BANK (REPEAL AND TRANSITIONAL PROVISIONS) ACT, 2015 2015 358.2 KB
49 THE ONE STOP BORDER POSTS ACT, 2015 2015 499.8 KB
50 THE ELECTRONIC TRANSACTIONS ACT, 2015 2015 781.2 KB
51 THE PUBLIC PRIVATE PARTNERSHIP (AMENDMENT) ACT, (CAP. 103) 2014 432.8 KB
52 THE WHISTLEBLOWER AND WITNESS PROTECTION ACT, 2015 2015 333.6 KB
53 Sheria ya Shirika la kudhibiti Shehena Tanzania, Na. 3 1981 6.8 MB
54 Sheria ya Bandari, Na. 17 2004 2.3 MB
55 NSSF Act 1997 1997 306.9 KB
56 Usajili wa Wasanifu na Wakadiriaji Majengo Sheria, Na. 4 (kwa Kiingereza) 2010 3.5 MB
57 Sheria ya Ununuzi wa Umma, Na. 21 (kwa Kiingereza) 2004 2.9 MB
58 Sheria ya Marekebisho ya Baadhi za Sheria, Na. 6 (kwa Kiingereza) 2012 547.7 KB
59 Sheria ya Taasisi Utafiti wa ya Mifugo Tanzania, Na. 4 (kwa Kiingereza) 2012 1,008.6 KB
60 Sheria ya Kurekebisha Sheria ya Usalama wa Jamii, Na.5 (kwa Kiingereza) 2012 3.2 MB
Jaribio
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-05 06:00:00
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page