Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuAlama za Taifa

Sehemu hii inakupa taarifa kamili zinazohusu utambulisho wa Taifa la Tanzania ambao unawakilisha baadhi ya sifa au sehemu muhimu za Tanzania. Alama zinawakilisha umoja na fahari ya nchi. Alama hizi zimekusudiwa kuwajumuisha na kuwawakilisha wananchi wa taifa lote. Vitambulisho hivyo ni pamoja na Bendera, Twiga, Mwenge, Wimbo na  Ngao ya Taifa.

Bendera ya Taifa Wimbo wa Taifa
Mnyama wa Taifa Ngao ya Taifa
Mwenge wa Uhuru
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-05 11:27:22
Kufaa
3.0
2 Jumla
Inafaa Sana 1
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 1
Urahisi wa kutumia
3.0
2 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 1

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page