Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiKodi

Mashirika na Kampuni hulipa 30% ya faida yao, wakati watu binafsi wanalipa viwango tofauti kwa sehemu tofauti za mapato yao- kadiri mapato yanavyoongezeka ndivyo wanavyolipa viwango vikubwa. Kiwango cha juu zaidi anacholipa mtu binafsi pia ni 30%. Kodi za mapato ni pamoja na kodi unazozisikia kuwa ni kodi ya mapato ya mtu binafsi, kodi ya shirika au kampuni, mfumo wa lipa-kadiri-unavyopata(PAYE) kwa wafanyakazi, kodi ya mapato inayodhaniwa kwa biashara binafsi, kodi za zuio za muda na za mwisho na kodi ya mapato ya mtaji. Zote hizi ni sehemu za mfumo wa kodi ya mapato ambazo ni rahisi kuelewa. Kodi zinaweza kulipwa kwa kujaza anachopata(hii inamaanisha mlipa kodi anawasilisha taarifa yote muhimu kwa TRA na kulipa kodi ipasavyo), kwa njia ya mifumo ya zuio na PAYE(hii inamaanisha kuwa kodi inazuiwa kutoka katika chanzo cha mapato cha mlipa kodi na kulipwa TRA moja kwa moja na mlipaji) au kupitia mfumo wa awamu.Unaweza kupata taarifa ambazo zinakuongoza kulipa kodi mbalimbali za Serikali, TIN na leseni ya kuendesha magari katika sehemu hii. Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania

Kodi na Ushuru Uingizaji na Utoaji wa Bidhaa
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-05 13:00:54
Kufaa
4.0
9 Jumla
Inafaa Sana 6
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 2
Urahisi wa kutumia
3.3
6 Jumla
Rahisi Sana 3
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 1
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 2

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page