Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiUtalii

Tasnia ya utalii ya Tanzania ina uwezo mkubwa sana wa kuendelezwa. Kuna vivutio vya asili kama vile mandhari za kuvutia, maeneo ya kihistoria na ya kiakiolojia, hifadhi zenye  wanyama wengi, fukwe zisizochafuliwa na wingi wa utamaduni wa makabila 158. Nyanda za juu za kusini na kaskazini zina safu nyingi za milima ya kuvutia hasa yenye urefu wa kati ya mita 500 mpaka mita 1000 kuliko maeneo yaliyoizunguka. Milima ya Kilimanjaro na Meru iliyopo kaskazini mashariki ni volkano za kale, yenye urefu wa mita 5,895 na 4,500 kwa mfuatano huo. Mwambao wa bahari una urefu wa zaidi ya kilomita 804 pamoja na visiwa vya jirani vya Unguja (kinachojulikana kuwa Zanzibar), Pemba na Mafia. Visiwa hivyo vina mkusanyiko wa vivutio vya asili, utamaduni, historia na akiolojia. Maliasili nyingine ni pamoja na Ziwa Viktoria, ziwa la pili kwa ukubwa duniani, na chanzo cha mto Nile.

Sehemu hii inatoa taarifa  za vivutio vya utalii ambavyo wananchi waopenda kutembelea maeneo haya ya kitalii yanayovutia nchini Tanzania. Taarifa hizo ni pamoja na Maeneo ya kitalii,makampuni ya utalii, jinsi ya kupanga safari kuja Tanzania, Utalii wa asili, Mbuga za wanyama, malazi pamoja na vyama vya kitalii na taarifa kuhusu safari za ndege.

Watoa huduma za Utalii Sehemu za kutembelea
Jumuia za Kitalii Mambo ya kufanya
Malazi Usafiri
Panga Safari Yako
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-05 13:47:40
Kufaa
4.4
9 Jumla
Inafaa Sana 7
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 1
Urahisi wa kutumia
4.5
8 Jumla
Rahisi Sana 7
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 1

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page