Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo BiasharaHuduma za Kisheria

Serikali ya Tanzania imeanzisha Mpango wa Huduma za Sheria(LSF) ambao ni sehemu ya Mpango wa Kusaidia Utawala wa Tanzania 2011-2015. Unakusudia kuimarisha utoaji wa msaada wa sheria, Tanzania Bara na Zanzibar. Mpango huu unakusudia kuhimiza na kulinda haki za binadamu wote hasa wanawake maskini, watoto, wanaume  na wanaoishi katika  maisha hatarishi, wakiwemo watu wanaoishi na VVU na Ukimwi.

Zaidi ya hayo, kuna mashirika ya kisheria ya umma na binafsi yanayotoa ushauri wa kisheria ikiwemo masuala ya kampuni/shirika, ajira , kodi na maeneo mengine yenye umuhimu kwa mamlaka za usimamizi, masuala ya talaka na kutengana na masuala ya jinai yasiyokuwa makubwa. Tunatoa huduma nyingine zikiwemo unasihi wa madai madogo, mabadiliko ya majina, matatizo ya mikopo na madeni ya mlaji na madai ya fidia ya mali.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-05 15:21:12
Kufaa
3.0
1 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 1
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
5.0
1 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page