Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliMipango ya MaendeleoUvuvi

Sekta ya uvuvi ni miongoni mwa sekta ndogo muhimu za kiuchumi  za uchumi wa Tanzaniz. Sekta hii inatoa ajira muhimu, kipato , shughuli za kujikimu, mapato ya kigeni na mapato kwa nchi. Tasnia hii inaajiri zaidi ya watu 4,000,000 wanaojishughulisha na uvuvi na shughuli zinazohusiana na uvuvi, wakati waendeshaji uvuvi zaidi ya 400,000, wameajiriwa moja kwa moja kwenye sekta.

Mwaka 2009, sekta ya uvuvi ilichangia asilimia 1.3 kwenye pato la Taifa, matumizi ya samaki kwa kila mtu ni kilo 8.0 na kiasi cha 30% ya ulaji wa protini ya nyama nchini Tanzania inatokana na samaki (utafiti wa uchumi wa Taifa, 2009). Sehemu hii inakupa taarifa kuhusu program za maendeleo ya uvuvi, mpango wa kimkakati na ripoti. Unaweza kupakua kwa matumizi yako.

Programu ya Maendeleo ya Sekta ya Uvuvi (FSDP)
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-05 18:28:16
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page