Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeWashirika wa Maendeleo

Mbinu ya usimamizi wa msaada nchini Tanzania inaongozwa na  Mkakati wa Msaada wa Pamoja (JAST) na inazingatia Kanuni za Kimataifa za tija ya msaada. Lengo kuu la JAST ni kuhimiza umiliki wa kitaifa na uongozi wa Serikali katika ushirikiano wa maendeleo kwa kutumia hatua za pamoja zinazotarajia kuzidisha matokeo ya tija ya maendeleo. Kundi la Washirika wa maendeleo lililoanzishwa mwaka 2004 lina mashirika 17 ya mkubaliano kati ya pande mbili na mashirika ya maendeleo ya kimataifa matano (Umoja wa Mataifa unahesabiwa kuwa kitu kimoja) yanayotoa msaada kwa Tanzania.

Kwa kupiga hatua zaidi ya kushirikiana taarifa kuelekea kwenye kutafuta uwianishaji na ufungamanishaji wa mifumo ya misaada na vipaumbele, Washirika wa Maendeleo (DP) wanakusudia kuongeza tija ya msaada wa maendeleo katika kusaidia malengo na mifumo ya Serikali ya Tanzania. Kwa kutumia JAST, Washirika  wa Maendeleo  wanatarajia kufanyakazi na Serikali ya Tanzania kutimiza lengo lake la kufikia malengo ya maendeleo endelevu yaliyowekwa kwenye Mkakati wa Taifa wa Ukuaji Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (MKUKUTA II / MKUZA II), Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDG) na sera na mikakati mingine ya taifa. Sehemu hii inakupa orodha ya Wabia wa Maendeleo wanaofanyakazi na Serikali ya Tanzania na washirika wa ndani.

 

 

SHIRIKA LA MAENDELEO WA UMOJA WA MATAIFA (UNDP) Umoja wa Mataifa
Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania SHIRIKA/TAASISI YA UTAFITI WA TIBA BARANI AFRIKA (AMREF)
Shirika la Maendeleo la Ujerumani Benki ya Dunia
World Vision Tanzania SEKRETARIETI YA MSAADA WA BAJETI WA JUMLA
Danish International Development Agency Idara ya Maendeleo ya Kimataifa
Wakala wa Maendelo ya Kimataifa ya Kanada WAKALA YA MAREKANI YA MAENDELEO YA KIMATAIFA (USAID)
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-05 20:01:48
Kufaa
5.0
2 Jumla
Inafaa Sana 2
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
5.0
2 Jumla
Rahisi Sana 2
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page