PRESS SECRETARY TO THE PRESIDENT

 

 

 

Fax. No. 255-22 2113425

Tel: 255-22-2116539/2116913

E-mail: press@ikulu.go.tz

 

 

The State House, 

P.O. Box 9120,

DAR ES SALAAM

 

PRESS RELEASES

 

 

JANUARY 2012

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete aondoka nchini kwenda Davos, Uswisi, kuhudhuria mkutano wa mwaka huu wa Umoja wa Uchumi Duniani wa World Economic Forum (WEF) (24.01.2012)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Masula ya Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara (24.01.2012)

Chama Cha National Convention for Construction and Reform-Mageuzi (NCCR-Mageuzi) kimempongeza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kusimamia suala la Katiba vizuri (21.01.2012)

Salamu za Rambirambi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (19.01.2012)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi watano ambao wataziwakilisha nchi zao katika Tanzania (10.01.2012)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na mjumbe maalum wa Rais wa Gambia, Mheshimiwa Yahya A. Jammeh (09.01.2012)

DECEMBER 2011

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Balozi Ombeni Yohana Sefue kuwa Katibu Mkuu Kiongozi (30.12.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Mkuu (30.12.2011)

Rais Kikwete akatisha Mapumziko kuwajulia Hali waliokumbwa na Mafuriko Dar es Salaam (22.12.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mheshimiwa Jaji (Mstaafu) Damian Lubuva kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) (22.12.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadiq (22.12.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa ukosefu wa ajira kwa vijana wa Afrika ni jambo kubwa (16.12.2011)

Uteuzi wa Mabalozi (16.12.2011)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Ikulu ya Dar-es-Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi kazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) Dr. Tonia Kandiero (13.12.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Bwana Clement Mshana (02.12.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wa serikali yake umekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Chama cha Wananchi (CUF) (02.12.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Marekani Mheshimiwa George W Bush (01.12.2011)

NOVEMBER 2011

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametia saini Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011. (29.11.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wa Serikali yake amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). (27.11.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Shirika la Makapuchini nchini Tanzania, Padre Wolfgan Peter (23.11.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mheshimiwa Evarist Welle Ndikilo (15.11.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea hati za utambulisho za mabalozi wapya (15.11.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa walimu wa Tanzania wanao uwezo wa kufundisha somo la Kiingereza vizuri (14.11.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameielezea Uingereza kama mshirika kakati (strategic partner) katika maendeleo ya Tanzania (08.11.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa Serikali inakamilisha mipango ya kuanzisha upya utaratibu wa vijana kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (05.11.2011)

OCTOBER 2011

teuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) (31.10.2011)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Mkuu wa Mkoa wa Pwani salamu za rambirambi na masikitiko makubwa kufuatia ajali ya basi la abiria lijulikanalo kama Delux Coach iliyotokea jana tarehe 25.10.2011. (26.10.2011)

Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Dr. Ali Mohammed Shein, ameapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania kwa ajili ya kushiriki vikao vya Baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (24.10.2011)

Tanzania imepongezwa kwa jitihada zake za kutekeleza Malengo ya Milenia ambayo yalilenga katika kupunguza vifo vya akina mama na watoto na pia jitihada zake katika kupambana na ugonjwa wa Ukimwi na athari zake (21.10.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ameungana na waombolezaji kumzika mwanahabari mkongwe, Ndugu Juma Fugame Penza (13.10.2011)

Iran imetoa matrekta madogo aina ya power tiller 100 kwa Serikali ya Muungano wa Tanzania (13.10.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ripoti kutoka makampuni mawili ya kimataifa kuhusu Mpango Kabambe ya mradi mkubwa wa umeme . (12.10.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete , amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Afrika Kusini, Mheshimiwa Jacob Zuma (11.10.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka watendaji wa Serikali yake kutambua kuwa nchi iko katika hali ya dharura kubwa ya upatikanaji wa nishati ya umeme, na hivyo wafanye maamuzi ya haraka, bila kigugumizi, kukabiliana na hali hiyo kwa manufaa ya wananchi. (10.10.2011)

TANZANIA na Uganda zimekubaliana kuharakisha ujenzi wa reli ya Tanga-Musoma-Uganda (02.10.2011)

SEPTEMBER 2011

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Benedict wa 16 ameeleza kufurahishwa na kuridhishwa kwake na amani, utulivu na uvumilivu wa kidini ulioko baina ya dini mbalimbali nchini na baina ya Watanzania wenye imani mbalimbali za kidini katika Tanzania. (29.09.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Abbas Hussein Kandoro. (27.09.2011)

Tanzania bado inaamini na kusimamia misingi na imani ile ile iliyokuwa nayo miaka hamsini nyuma, juu ya Umoja wa Mataifa kama ilivyoainishwa na waasisi wa taifa letu (23.09.2011)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amepokea Tuzo Mbili Maalum kwa mchango wake mkubwa katika Afya ya Mama Mjamzito na Watoto kwa ujumla kutoka taasisi mbili tofauti mjini New York (22.09.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Hajat Amina Mrisho kufuatia vifo vya watu 10 na wengine 19 kujeruhiwa kutokana na ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 14 Septemba, 2011. (15.09.2011)

SALAMU za rambirambi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia ajali ya kuzama kwa meli ya Spice Islander. (14.09.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametembelea Viwanja vya Maisara mjini Zanzibar kujionea mwenyewe zoezi la kutambua miili iliyoopolewa kutoka baharini. (11.09.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameamuru maombolezo ya kitaifa kwa muda wa siku tatu kuanzia tarehe 11 Septemba, 2011 ambapo bendera nchini zitapepea nusu mlingoti (10.09.2011)

Sera ya Serikali ya Tanzania kutoa ruzuku ya mbegu na mbolea kwa wakulima wadogo wadogo wa chakula nchini imeanza kuzaa matunda. (09.09.2011)

Tanzania na Kenya zimekubaliana kukomesha biashara ya miaka mingi ya magendo ya chakula kwenye mpaka wa nchi hiyo kwa kuamua kuuziana chakula rasmi kwa njia halali kuanzia sasa (09.09.2011)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wa Australia, Finland, Mexico na Misri (08.09.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Masheikh wa Dini ya Kiislam kuhusu mchakato wa kuundwa kwa Mahakama ya Kadhi nchini (06.09.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amezindua rasmi Kamati ya Kitaifa ya Misaada ya Kibinadamu kwa Somalia ijulikanayo kama “Kamati ya Okoa Maisha Somalia” katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam. (02.09.2011)

AUGUST 2011

Tanzania imetangaza kuwa itatoa msaada wa tani 300 za mahindi, ili kuwasaidia kupunguza makali ya ukosefu mkubwa wa chakula unaowakabili kiasi cha wananchi milioni 3.5 wa Jamhuri ya Somalia. (11.08.2011)

Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Vyama vya Siasa vilivoshiriki katika Ukombozi Kusini mwa Afrika, umekubaliana kuweka kumbukumbu na kuhifadhi yaliyokuwa maeneo yao makuu yaliyotumika wakati wa harakati za ukombozi (11.08.2011)

JULY 2011

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Misaada ya Kimataifa ya Maendeleo wa Uingereza wazungumza kuhusu fedha ambazo Serikali ya Tanzania inadai ilipwe na kampuni ya kuuza silaha ya nchi hiyo ya British Aerospace (BAE). (01.07.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ashiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa 17 wa Viongozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) ulioanza katika mji mkuu wa Equatorial Guinea wa Malabo. (01.07.2011)

Rais Kikwete aombwa kuendelea kuongoza ALMA (01.07.2011)

Bunduki haiwezi kumaliza matatizo yetu – JK (01.07.2011)

JUNE 2011

The President of the United Republic of Tanzania, His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete has warmly endorsed the candidacy of His Excellency Ban Ki- Moon, who has put forward his name for election to a second term as Secretary General of the United Nations. (06.06.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Utamaduni, Michezo na Utalii wa Jamhuri ya Korea, Mheshimiwa Dkt. Choung Byoung Gug (06.06.2011)

MAY 2011

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini kwenda Addis Ababa, Ethiopia kuhudhuria mkutano maalum wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU) (25.05.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alizindua rasmi Mfumo wa Mawasiliano ya Komptyuta wa Windows 7 Kiswahili Interface Pack unaotumia lugha ya Kiswahili (25.05.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amezitaka nchi za Sudan na Sudan Kusini kutokuruhusu tukio la Alhamisi iliyopita katika jimbo la mpakani mwa nchi hizo la Abyei kuvuruga Makubaliano ya Kuleta Amani (24.05.2011)

Salamu za Rambirambi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (21.05.2011)

Salamu za Rambirambi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (20.05.2011)

Waziri Mkuu wa India akubali mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutembelea Tanzania wiki ijayo. (19.05.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakuwa miongoni mwa viongozi wa SADC watakaohudhuria mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi hizo unaofanyika Ijumaa, Mei 20, 2011 . (19.05.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimwia Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza . (18.05.2011)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ampokea na kufanya mazungumzo na Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Mheshimiwa Ahmed Abdallah Sambi. (07.05.2011)

Misaada ya Marekani kwa Tanzania inachangia kwa kiasi kikubwa kujenga Tanzania ijayo na kuokoa maisha ya maelfu kwa maelfu ya Watanzania (05.05.2011)

wakulima wa Tanzania kuinuliwa kutoka kwenye umasikini kwa kuhakikisha kuwa kilimo cha Tanzania kinaboreshwa haraka iwezekanavyo (05.05.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa mgeni maalum katika mjadala wa kimataifa kuhusu Visheni Mpya ya Kilimo katika Afrika (Achieving Africa’s New Vision for Agriculture) (03.05.2011)

APRIL 2011

Salamu za Rambirambi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Katibu Mkuu mmoja wa Wizara, na Naibu Makatibu Wakuu 10 wa Wizara mbalimbali (27.04.2011)

Salamu za Rambirambi za Salamu za pole za Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (27.04.2011)

Salamu za Rambirambi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Clement Senzota Mwete Mshana kuwa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) (27.04.2011)

Salamu za Rambirambi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (05.04.2011)

Chama cha Wanasheria cha Afrika Mashariki (EALS) kimempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Serikali yake kwa kuanzisha na kuruhusu mjadala wa sasa wa nchi nzima kuhusu mabadiliko ya Katiba katika Tanzania. (04.04.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameiagiza Wizara ya Ujenzi kukishughulikia mara moja kile alichokiita “genge la watu waliojipanga kuidhulumu Serikali na wananchi”. (04.04.2011)

MARCH 2011

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Mheshimiwa Morgan Tsvangirai. (31.03.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametaka kutengwa kwa maeneo makubwa ya kutosha kila mkoa ili kuanzisha mashamba ya kunenepesha ng’ombe. (30.03.2011)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewaandikia barua Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha kuwataka kuziwakilisha bungeni ifikapo tarehe 12 Aprili, mwaka huu ripoti za Mkaguzi Mkuu wa Serikali juu ya Hesabu za Serikali za Mitaa, Hesabu za Serikali Kuu, za Mashirika ya Umma na Ukaguzi wa Ufanisi kwa mwaka 2009/10 kama ilivyo kikatiba. (30.03.2011)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameagiza chakula cha akiba cha taifa kuingizwa katika masoko ya mijini, na hasa jiji la Dar es Salaam. (29.03.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Hajat Amina Mrisho kutokana na ajali mbili tofauti za barabarani zilizotokea mwishoni mwa wiki. (29.03.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho atia saini kitabu cha maombolezo kufuatia upotevu wa maisha ya maelfu kwa maelfu ya wananchi wa Japan. (25.03.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete arejea nyumbani kutoka kwenye ziara ya kikazi mjini Addis Ababa, Ethiopia. (11.03.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatano, Machi 9, 2011, anaungana na marais wenzake wa Afrika waliopewa jukumu la kutafuta suluhu ya mgogoro wa kisiasa katika nchi ya Afrika Magharibi ya Ivory Coast. (9.03.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Shabani R. Gurumo kuwa Mnikulu (State House Comptroller). (09.03.2011)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kutoa mada juu ya umuhimu wa shughuli za uziduaji na uwazi katika mapato ya madini katika mkutano wa Kimataifa wa Tasnia ya Uziduaji, (Global Extractive Industries Transparency Initiative -EITI, (01.03.2011)

FEBRUARY 2011

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete atembelea na kukagua Shule ya Sekondari ya Wama-Nakayama (10.02.2011)

The Government has reassured the international community that Tanzania will never do anything to hurt or take any decision that may irresponsibly destroy the Serengeti National Park such as building a tarmac road through the Park (09.02.2011)

Tanzania ni moja ya nchi nne (4) za kwanza duniani zinazotarajia kunufaika na uhusiano wake mzuri na Marekani (08.02.2011)

SERIKALI imeamua kuwa kuanzia sasa walimu nchini, kama ilivyo kwa madaktari, wataajiriwa na kupangiwa moja kwa moja vituo vya kazi bila kufanya usaili (07.02.2011)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema ana matumaini kuwa Watanzania wengi zaidi watajitokeza kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao (07.02.2011)

Tanzania imeteuliwa kuwa moja ya nchi TANO katika kamati ya Umoja wa Afrika kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini Ivory Coast kati ya Rais anayemaliza muda wake Bwana Laurent Gbagbo na Bwana Alassane Outtara (01.02.2011)

JANUARY 2011

Kikao cha Viongozi wa Nchi 35 za Afrika zinazounda Mshikamano wa Kupambana na Malaria Barani Afrika (31.01.2011)

The Government has reiterated its position on the planned tarmac highway around the Serengeti National Park to ease transport problems facing poor communities surrounding the Park (28.01.2011)

Heshimuni ahadi zetu kwa masikini, Rais Kikwete aziambia nchi tajiri (27.01.2011)

Msimamo wa Tanzania juu ya Ivory Coast ni wazi, Rais Kikwete amemwambia Ban Ki Moom (26.01.2011)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekialika Kituo cha Ushirikiano wa Nchi Zinazoendelea cha South Centre cha Uswisi kushiriki kikamilifu katika shughuli za kuazimisha miaka 50 ya uhuru inayosheherekewa mwaka huu (25.01.2011)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ataongoza mkutano wa kwanza wa Tume ya Kimataifa Kuhusu Afya ya Akinamama na Watoto. (25.01.2011)

AUGUST 2010

Mgombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atoa tamko rasmi (18.08.2010)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za Rambirambi Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (18.08.2010)

RAIS Barack Obama wa Marekani amempongeza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kufanikisha mchakato wa maridhiano ya Zanzibar na hasa kwa mafanikio makubwa ya kura ya maoni ya kuundwa kwa Serikali ya Umoja Tanzania Visiwani. (17.08.2010)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekitaka Chama cha Wanasheria nchini kutafuta njia za haraka kupunguza gharama za huduma ya sheria nchini (13.08.2010)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi na pole nyingi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma (10.08.2010)

Salamu za Rambirambi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi na pole nyingi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Mwanza (05.08.2010)

Salamu za Rambirambi za Mwenyekiti wa CCM – Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (03.08.2010)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewahimiza wana-CCM kutumia mtandao wao (02.08.2010)

JULY 2010

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ametuma salamu za rambirambi kwa Wakuu wa Mikoa ya Kagera na Shinyanga. (30.07.2010)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewashukuru viongozi wa dini nchini kwa kujali maendeleo ya wananchi na waumini wao kupitia utoaji wa huduma mbalimbali za jamii (30.07.2010)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na kuzungumza na wazee wakongwe wa vita nchini na wanachama wa Tanzania Legion .(30.07.2010) 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete awaapisha Naibu Makatibu wakuu tisa katika halfa fupi iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam. (29.07.2010)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka leo mchana kuelekea Kampala Uganda kuhudhuria kikao cha 15 cha Baraza Viongozi wa Umoja wa Afrika (AU) (25.07.2010)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametaja sababu kuu za umasikini wa Bara la Afrika.(20.07.2010) 

Salamu za Rambirambi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. (20.07.2010) 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ameteua Naibu Makatibu Wakuu tisa (9) wa Wizara mbalimbali.. (20.07.2010) 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kutokana na ajali mbaya ya barabarani. (10.07.2010)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema anafarijika sana kuona kauli mbinu ya CCM ya mwaka 2005 ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania imetimia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa wanafamilia ya Mzee Ally Sykes kufuatia kifo cha mpendwa wao, Bwana Addah Sykes. (05.07.2010) 

Serikali ya Chama cha Mapinduzi ina azma ya kuwapatia wananchi wake wote maji safi na salama ifikapo mwaka 2025. (02.07.2010) 

JUNE 2010

Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo katika Ikulu ya Dar-Es-Salaam amefanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Marekani Mh. Bill Clinton. (22.06.2010)

Serikali inatarajia kuanzisha Benki ya Kilimo nchini ili kuweza kutoa mikopo kwa wakulima nchini.

Rais Jakaya Kikwete apanda miti katika maeneo ambayo patasimikwa mitambo ya kuzalisha umeme katika wilaya za Kasulu na Kibondo Mkoani Kigoma.. (09.06.2010) 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, akutana na kufanya mazungumzo na Kamishna wa Biashara wa Umoja wa Ulaya (EU), Mheshimiwa Karel De Gutch. (09.06.2010) 

MAY 2010

Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Mbeya, Bwana Nawab Mullah kutokana na kifo cha Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya ya Kyela, Marehemu Japhet Mwakasumi, aliyefariki tarehe 19 Mei, 2010 Jijini Dar es Salaam. (21.05.2010) 

Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Servacius Beda Likwelile kuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Fedha na Uchumi, taarifa iliyotolea Ikulu, Dar es Salaam, leo, Alhamisi, Mei 20, 2010, imeeleza. (20.05.2010) 

Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Alhamisi, Mei 20, 2010, amekutana na kufanya mazungumzo na Baroness Catherine Ashton, Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya (EU) na Makamu wa Rais wa Tume ya Ulaya. (20.05.2010)

Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema kuwa ni dhamira ya Serikali yake kuendelea kuongeza bajeti ya kupambana na ukimwi nchini. (17.05.2010)

Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewashukuru Watanzania, na hasa Kamati ya Taifa ya Maandalizi, kwa kufanikisha mkutano mkubwa wa kimataifa wa uchumi wa World Economic Forum on Africa 2010 uliofanyika majuzi nchini. (15.05.2010)

Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akutana na kufanya mazungumzo na Mtoto wa Mfalme wa Saudi Arabia, Mheshimiwa Prince Sultan Bin Muhammed Bin Saud Al-Kabeer. (14.05.2010)

MHESHIMIWA Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewaagiza Wakuu wa wilaya zote nchini kuendesha zoezi la msako wa nyumba kwa nyumba, ili kubaini watoto waliofaulu kuingia sekondari mwaka huu lakini mpaka sasa wameshindwa kuanza masomo yao. (13.05.2010)

Mheshimiwa Robert Mugabe, Rais wa Zimbabwe, amewasili nchini kwa ajili ya mazungumzo na Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (03.05.2010)

APRIL 2010

Mheshimiwa Robert Mugabe, Rais wa Zimbabwe, amewasili nchini kwa ajili ya mazungumzo na Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (03.05.2010)

Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ashiriki katika mazishi ya watoto wadogo watatu wa shule katika kijiji cha kwao cha Msoga, Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. (28.04.2010)

Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Naibu Kansela wa Ujerumani, Dk. Guido Westerwelle. (08.04.2010)

MARCH 2010

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ripoti za Ukaguzi wa Matumizi ya Fedha za Serikali na Taasisi zake za mwaka 2008/2009 kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bwana Ludovick Utouh. (31.03.2010)

Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amepokea vifaa mbalimbali vya msaada kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China katika Tanzania. (29.03.2010)

Salamu za Rambirambi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. (25.03.2010)

Miradi ya maendeleo iliyokubaliwa kati ya Tanzania na Marekani chini ya Mpango wa Millenium Challenge Corporation (MCC). (25.03.2010)

Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameondoka nchini mchana wa leo, Jumamosi, Machi 20, 2010, kwenda Namibia kwa ziara ya siku tatu. (20.03.2010)

Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atatia saini Sheria ya Matumizi ya Fedha katika Uchaguzi, katika hafla fupi itakayofanyika Ikulu, Dar es Salaam. (17.03.2010)

Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Finland, Mheshimiwa Matti Vanhanen kuhusu masuala mbalimbali. (16.03.2010)

Salamu za Rambirambi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. (13.03.2010)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ametuma rambirambi kwa Balozi Mstaafu Andrew Daraja kufuatia mauaji ya mkewe balozi huyo. (09.03.2010)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi Mteule wa Tanzania katika Japan, Mheshimiwa Salome Sijaona. (06.03.2010)

Tanzania na Mozambique zitafungua ukurasa mpya wa mahusiano ya kidugu kati yao, Mei, mwaka huu, wakati viongozi wa nchi hizo mbili watakapozindua rasmi Daraja la Kihistoria la Umoja. (06.03.2010)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, pamoja na Mama Salma Kikwete, wamejiandikisha kama wapiga kura katika kijiji cha kwao cha Msoga, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. (04.03.2010)

NOVEMBER 2009

Salamu za Rambirambi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kutokana na Kifo cha Mbunge wa Ruangwa (CCM), Mheshimiwa Sigifrid Ng’itu. (05.11.2009)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Sirlius B.M. Gwazidoro Matupa kuwa Msaidizi wa Rais - Masuala ya Sheria. (05.11.2009)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Tanzania inapenda kufanya mazungumzo ya haraka, ili kuona jinsi gani ya kufikia makubaliano juu ya deni la dola za Marekani milioni 128.05 ambazo Tanzania inadaiwa na Algeria. (03.11.2009)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameliambia Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kuwa hali ya ukame katika baadhi ya sehemu za Tanzania ni suala linalotia wasiwasi. (036.11.2009)

OCTOBER 2009

Mhe. Rais Jakaya Kikwete amemteua Jaji Frederick Mwita Werema kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. (20.10.2009)

Suala la msingi katika mgogoro wa Darfur nchini Sudan ni kuhakikisha usalama wa raia na mali zao kwanza. (20.10.2009)

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amefanya mabadiliko katika safu ya maofisa waandamizi wa Serikali kwa kuteua Makatibu Wakuu wa Wizara wanne wapya, kuhamisha wengine wawili, na kuteua Katibu wa Rais mpya. (19.10.2009)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Korea kwa kuchangia maendeleo ya Tanzania. (16.10.2009)

Serikali ya Awamu ya Nne imeweka mkakati wa kuhakikisha kuwa wananchi wanapata huduma ya afya karibu na makazi yao na iliyo bora zaidi. (08.10.2009)

Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametoa mwito maalum kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kujiandikisha, ili waweze kushiriki kuwapigia kura viongozi wa serikali za mitaa. (05.10.2009)

Mheshimiwa RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amelazimika kupumzika kwa dakika chache katika chumba cha mapumziko kwenye Uwanja wa Kirumba, mjini Mwanza (04.10.2009)

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ametaja misingi mikuu mitatu iliyowekwa na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere katika kulijenga taifa la Tanzania (03.10.2009)

AUGUST 2009

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameagiza uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kusimamia shughuli ya kutengeneza mashine zilizoharibika katika kituo cha umeme cha Lizaboni, mjini Songea (13.08.2009)

Serikali ya Awamu ya Nne inalipa uzito mkubwa suala la kilimo, na juhudi sasa zinafanyika kuongeza kasi ya utekelezaji.(11.08.2009)

Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mheshimiwa Henry Shekifu kutokana na ajali mbaya ya barabarani iliyotokea jana tarehe 6 Agosti, 2009. (08.08.2009)

JULY 2009

Rais amemtumia salamu za pongezi Prof. Anna Tibaijuka kwa kutunukiwa tuzo ya Mazingira ya Goteborg kwa mwaka 2009 (16.07.2009)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bi. Zahra Mwanasharif Nuru kuwa Msaidizi wa Rais wa masuala ya Diplomasia. (15.07.2009)

Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Afrika Kusini (SANDF), Jenerali Godfrey Ngwenya ameishukuru Tanzania kwa mchango wake mkubwa katika ukombozi wa Bara la Afrika. (14.07.2009)

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete, ameteua Majaji Wapya Kumi (10) wa Mahakama Kuu ya Tanzania. (13.07.2009)

JUNE 2009

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ameuomba Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia kuchangia katika ujenzi wa barabara ya Manyoni –Kigoma (22.06.2009)

Mambo makuu katika Hotuba ya Rais kwa Taifa kutoka Ukumbi wa Kilimani, Dodoma (10.06.2009)

Rais akutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wa Cuba na Saudi Arabia (09.06.2009)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete apokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wanne ambao wataziwakilisha nchi zao katika Tanzania (05.06.2009)

Salamu za Rambirambi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kutokana na ajali ya Kuzama kwa Meli ya Mizigo katika Bandari ya Zanzibar (04.06.2009 )MAY 2009

Rais Jakaya Mrisho Kikwete aondoka nchini kwenda Marekani kwa ziara ya kikazi (16.05.2009)

MARCH 2009

Kutunukiwa Tuzo ya Kimataifa ya Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani kwa Wanawake Jasiri (27.03.2009)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete arejea nyumbani akitokea London, Uingereza, ambako alihudhuria mkutano maalum wa maandalizi ya Mkutano wa Nchi za G-20 (19.03.2009)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dk Donald Kaberuka (12.03.2009)

Tuzo ya Uongozi Bora Afrika (12.03.2009)

Rais Kikwete amtumia salamu za rambirambi kwa Mkurugenzi Mtendaji Kituo cha Televisheni cha ITV (03.03.2009)

Makubaliano makuu yaliyofikiwa katika mkutano wa tathmini ya utendaji wa Serikali uliofanyika Ikulu kati ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete na uongozi wa Wizara ya Nishati na Madini na taasisi zake (03.03.2009)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete aagana na Balozi wa Hispania nchini, German Zurita Saenz De Navarrete, ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi katika Tanzania (03.03.2009)

FEBRUARY 2009

BAADHI ya makubaliano makuu yaliyofikiwa kwenye kikao Ikulu, Dar es Salaam kati ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete na uongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii, na taasisi zake (24.02.2009)

Comments for the PressJoint (23.02.2009)

Communiqué issued during the official visit to The United Republic of Tanzania by H.E. Abdullah Gül, President of The Republic Of Turkey (23.02.2009)

UJERUMANI imeihakikishia Tanzania kuwa itaendelea kutimiza ahadi zake za misaada kwa Tanzania pamoja na matatizo makubwa ya kiuchumi na kifedha yanayozikabili chumi za nchi mbali mbali duniani (19.02.2009)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wakuu wa elimu nchini wamekubaliana kurudisha, haraka iwezekanavyo, utaratibu wa shule zote nchini kutumia vitabu vya aina moja vya kufundishia (18.02.2009)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani katika Tanzania, Larry E Andre Jr. (11.02.2009)

TANZANIA na Zambia zimekubaliana kushirikiana zaidi katika kutafuta majawabu ya matatizo yanayoikabili Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) (09.02.2009)

MAELFU ya wakulima wadogo nchini wanatarajiwa kunufaika na mpango wa uwezeshaji (09.02.2009)

RAIS Kikwete, alizima jaribio la kubadilisha msimamo wa Umoja wa Afrika kuhusu mapinduzi ya kijeshi katika Afrika (03.02.2009)

Afrika yamtumia Rais Obama salamu za pongezi (03.02.2009)

Rais Kikwete amtumia salamu za rambirambi Rais Kibaki wa Kenya (03.02.2009)

JANUARY 2009

Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Rais Jakaya Mrisho Kikwete aondoka nchini Januari 31, 2009, kwenda Addis Ababa, Ethiopia, kuhudhuria Mkutano wa 12 wa kawaida wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa AU (31.01.2009)

Salamu za Rambirambi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa familia ya Marehemu Mzee Chediel Mgonja (31.01.2009)

Rais Kikwete apokea ripoti ya awali ya milipuko ya Mlima Oldonyo Lengai (28.01.2009)

Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja huo, Erasto Mwencha. (28.01.2009)

Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini asubuhi ya leo, kwenda Pretoria, Afrika Kusini kuhudhuria mkutano maalum wa viongozi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) juu ya hali ya Zimbabwe (26.01.2009)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa viongozi yoyote ambaye anabagua wananchi basi huyo hauwezi uongozi. (20.01.2009)

Balozi wa Tanzania nchini Marekani ametia sahihi Mkataba wa Ushirikiano kwenye masuala ya wanyamapori. (20.01.2009)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa hakuna Mtanzania yoyote atakayekufa kwa njaa (20.01.2009)

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ameiomba China kusaidia kuanzisha Benki ya Kilimo nchini (19.01.2009)

BENKI Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kuwa inatarajia kuwa mfumuko wa bei uliopanda ghafla mwaka jana, kwa sababu ya kupanda mno kwa bei za mafuta na vyakula (nafaka), utaanza kushuka (19.01.2009)

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amezielekeza Wizara na Taasisi nyingine zinazohusika na usimamizi wa mipango ya uchumi nchini kuelekeza nguvu zao katika uchumi unaolenga kuuza bidhaa nyingi zaidi nchi za nje (export-led economy (19.01.2009)

MIRADI 15 mikubwa ya ujenzi wa barabara nchini imekamilishwa katika miaka mitatu iliyopita na miradi mingine 33 iko kwenye hatua mbali mbali za kukamilishwa (18.01.2009)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameitaka Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) kuacha kuchukua maamuzi makubwa kuhusu uendeshaji wa Reli ya Kati (16.01.2009)

TRL yaahidi kuongeza ufanisi katika kuendesha Reli ya Kati (16.01.2009)

Wadau wakubaliana kumaliza msongamano Bandari ya Dar (16.01.2009)

Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Millennium Challenge Corporation (MCC) ya Marekani imeonyesha dhamira ya kuendelea kusaidia juhudi za Tanzania (15.01.2009)

The Board of Directors of the USA Millennium Challenge Corporation (MCC), has expressed its willingness to continue supporting Tanzania’s development efforts (15.01.2009)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amelitaka Taifa la Israel na Wapalestina kutafuta njia za haraka kukomesha mara moja mashambulizi (08.01.2009)

NOVEMBER 2008

Taarifa ya Serikali kwa vyombo vya Habari kuhusu kusudio la walimu la kutaka kugoma (15.11.2008)

Mheshimiwa Rais amefurahishwa na Hatua ya Serikali ya Sudan ya kuanzisha Mchakato wa kumaliza Vita (14.11.2008)

Ben Mtobwa alikuwa mwanataaluma mzalendo (12.11.2008)

OCTOBER 2008

Mheshimiwa Rais Kulihutubia Taifa (31.10.2008)

Kukabidhi Viongozi wa Chama cha Maalbino Tanzania jezi zilizotolewa na Mheshimiwa Rais Kikwete. (26.10.2008)

SEPTEMBER 2008

Rais Kikwete aondoka nchini leo. (20.09.2008)

Rais Kikwete aishukuru China kwa Uwanja (18.09.2008)

Kweli uchumi unakua, lakini sisi bado maskini (18.09.2008)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete asema Marehemu Levy Mwanawasa ameishi na kuwatumikia wananchi kwa mapenzi, kujitolea, heshima na kwa dhati kubwa. (03.09.2008)AUGUST 2008

Rais Jakaya Kikwete amewataka viongozi mkoani Iringa kuwa mstari wa mbele kuwasaidia wananchi (04.08.2008)

Serikali ya Awamu ya Nne imedhamiria kuendeleza kwa dhati hazina ya mradi wa Makaa ya Mawe ya Mchuchuma (02.08.2008)

JULY 2008

Salamu za Rambirambi (28.07.2008)

Rais Jakaya Kikwete apokea hati za Utambulisho za Mabalozi (28.07.2008)

MAY 2008

Benki ya Dunia imeahidi kulisaidia bara la Afrika katika kutatua tatizo la chakula (29.05.2008)

APRIL 2008

Norway yampogeza Rais Kikwete kwa kupambana na rushwa (21.04.2008)

Rais akubali kujiuzulu kwa Chenge (20.04.2008)

Rais Kikwete: Toeni pesa tumalize migogoro Afrika (17.04.2008)

 WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Gordon Brown, amemshutumu Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, akimwita mwizi wa kura, kuhusiana na Uchaguzi Mkuu wa Zimbabwe uliofanyika Machi 29, mwaka huu (17.04.2008).

Rais Jakaya Mrisho Kikwete awa na siku yenye shughuli nyingi za kidiplomasia katika ziara yake ya siku mbili katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa, mjini New York, Marekani (16.04.2008).

MARCH 2008

Rais Jakaya Kikwete amemtumia salamu za pole Mkuu wa Mkoa na wananchi wa Mkoa wa Manyara (30.03.2008)

FEBRUARY 2008

Rais Jakaya Mrisho Kikwete apokea hati za utambulisho za mabalozi wawili wapya ambao wataziwakilisha nchi zao katika Tanzania. (5.02.2008)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Mpatanishi wa mgogoro wa Burundi, Charles Nqakula. (5.02.2008)

Rais Kikwete ateua majaji wapya wa Korti ya Rufani (4.02.2008)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Saharawi katika Tanzania, Habiballah Abdallahi (6.02.2008).

JANUARY 2008

Ujenzi wa reli kuunganisha Tanzania na Rwanda kuanza mwakani (25.01.2008)

Rais Kikwete Awapa Changamoto Viongozi Kuongeza Tija (23.01.2008)

Tamko la Serikali Kuhusu Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu Katika Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (External Payment Arrears Account – EPA) Iliyoko Benki Kuu ya Tanzania (9.01.2008)

DECEMBER 2007

Salamu za Rambirambi (18.12.2007)

OCTOBER 2007

Rais Jakaya Kikwete aonya tabia inayotaka kujengeka miongoni mwa wananchi na hususani wanasiasa ya kugeuka kuwa wapelelezi (10.10.2007)

SEPTEMBER 2007

Wanafunzi 86 wanaomaliza mafunzo yao katika Chuo cha Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Mifugo kupata ajira serikalini. (05.09.2007)

Limeni Mazao ya Biashara Muondokane na Umaskini - Kikwete (03.09.2007)

AUGUST 2007

Marekani yaahidi kuendelea kushirikiana na Serikali katika juhudi zake za kuutokomeza ugonjwa wa malaria na kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi. (30.08.2007)

Serikali yaahidi kufanya kila iwezalo kuhakikisha zao la Pamba halianguki. (29.08.2007)

Mhe. John Cheyo amempongeza Rais Jakaya Mrisho Kikwete(27.08.2007)

Serikali imetenga Tshs 950 milioni kwa ajili ya kukarabati bwawa la maji la Niusola wilayani Maswa (26.08.2007)

Taarifa Ya Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kuhusu Mazungumzo ya Muafaka Kati ya CUF na CCM (14.08.2007)

Sayansi na teknolojia ndiyo mambo yanayozitofautisha nchi zilizoendelea na zinazoendelea. (03.08.2007)

JULY 2007


Rais Jakaya Kikwete amteua Jaji Agustino Ramadhani kuwa Jaji Mkuu. (17.07.2007)

JUNE 2007


Rais Jakaya Kikwete amesema anayo nia na dhamira ya dhati ya kuwaondoa Watanzania katika maisha ya dhiki na umaskini. (13.06.2007)

Serikali inafanya marekebisho katika sekta ya madini (11.06.2007)

MAY 2007


Serikali inafanya marekebisho katika sekta ya madini (08.05.2007)

APRIL 2007


Rais Jakaya Kikwete leo amekuwa na mazungumzo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) (30.4.2007)

Rais Jakaya Kikwete amemwapisha Bw. Sazi Bundara kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu Wizara ya Sheria na Katiba (25.4.2007)

Mapungufu yaliyo dhahiri katika sekta isiyo rasmi, ni changamoto kubwa kwa nchi za Afrika (25.4.2007)

Rais Kikwete kuhutubia mkutano wa Ajira (21.4.2007)

MARCH 2007


Mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi nchini Tanzania ni kipimo bora na mfano wa kuigwa na nchi zote barani Afrika(2.3.2007)

FEBRUARY 2007


Mwamko wa Akina Mama Umepunguza Vifo vya Watoto - JK (2.2.2007)

Tanzania na Trinidad na Tobago Kushirikiana Katika Gesi (1.2.2007)

JANUARY 2007


JK-Tanzania Kufundisha Maafisa Kadeti wa Jeshi la Somalia (29.01.2007)

AU yampongeza BAN-KI MOON kwa Uteuzi wa Migiro (29.01.2007)

Viongozi wa kisiasa, wafanyabiashara na viongozi wa mashirika yasiyo ya kiserikali wameendelea na mkutano kujadili masuala ya afya, uchumi, kilimo, misaada na mabadiliko ya hali ya hewa na nafasi ya misaada inayotolewa kwa nchi zinazoendelea, katika baraza la uchumi (27.01.2007)

Wafanya Biashara waweza kukuza Kilimo cha Afrika na Misaada ni Muhimu kwa Maendeleo (26.01.2007)

Serikali ya Uingereza itachangia paundi za uingereza 105 milioni kwenye bajeti ya mwaka wa fedha wa 2007/08 (15.01.2007)

JK-Wanabunda Uchukieni Umaskini (05.01.2007)

Rais Jakaya Kikwete amelitaka shirika la ndege la Qatar ambalo limeanza shughuli zake hapa nchini, kuitumia nafasi

hiyo kuitangaza Tanzania kama kituo kikuu cha utalii na mapumziko. (10.01.2007)

Dr. Asha Rose Migiro of Tanzania to be the Deputy Secretary General of the United Nations (05.01.2007)

JK aongoza Waombolezaji Kutoa Heshima za Mwisho kwa Akukweti (06.01.2007)

DECEMBER 2006


Balozi wa Tanzania ateuliwa kuwa Katibu Mtendaji Ukanda wa Maziwa Makuu (15.12.2006)

Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa Kuwa na Mahakama ya Rufaa (15.12.2006)

JK kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Maziwa Makuu (12.12.2006)

Tanzania kupeleka Jeshi Polisi 77 Kulinda Amani Lebanon (12.12.2006)

OCTOBER 2006


Rais Kikwete apokea Hati za Utambulisho (16.10.2006)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo ametembelea kituo cha umeme cha masista wa Benedictine (10.10.2006)

SEPTEMBER 2006


Tanzania ni moja kati ya nchi tano zitakazonufaika na msaada wa Dola za Kimarekani milioni 250 (22.9.2006)

Rais Jakaya Kikwete ameushauri uongozi wa Chuo cha Sanaa Bagamoyo (12.9.2006)

AUGUST 2006


Msifanye Kazi Kwa Mazoea-Kikwete (14.8.2006)

JUNE 2006


China imeipatia Tanzania Yuan milioni 80 (23.6.2006)

Ujumbe wa Al Bashir (23.6.2006)

Norway kuendelea kushirikiana na Tanzania (1.6.2006)

Tanzania kuendelea kupeta ikiwa...... . (1.6.2006)

FEBRUARY 2006


Sitaingilia Uhuru wa Mahakama-Kikwete (14.2.2006)

Rais Jakaya Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Akrasi Amatayakul wa Thailand. (14.2.2006)

Balozi Andrew Young azungumza na Rais Kikwete (13.2.2006)

Kuna matumizi mabaya ya Fedha katika Halmashauri - Kikwete (10.2.2006)

Kikwete akutana na wafanyakazi wa IKULU (7.2.2006)

 Tathmini ya ziara ya Rais ya kutembelea Masoko na Nafaka ya Dar Es Salaam (6.2.2006)

Rais Jakaya Kikwete leo amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Czech Mhe. Cyril Svoboda (2.2.2006)

 Rais akutana na Bodi ya Wakurugenzi wa Milleniaum Challenge (1.2.2006)

JANUARY 2006


Kikwete afadhaishwa na migogoro isiyokwisha Afrika (24.1.2006)

Tumsaidie Rais Kikwete kwa kufanya kazi- Askofu Eliophoo Sima (16.1.2006)