Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) yatekeleza kwa vitendo maagizo ya Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kufanya usafi katika ofisi za TFDA na maeneo yanayoizunguka siku ya tarehe 09 Desemba, 2015 katika kuadhimisha Siku Kuu ya Uhuru