Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiNishati

Rasilimali za Nishati na Madini zinafanya kazi kubwa ya kupunguza umasikini ikiwemo kusaidia ukuaji wa kiuchumi nchini Tanzania. Wizara ya Nishati na Madini ndiyo yenye jukumu la kuwezesha maendeleo katika sekta za nishati na madini.

Wizara hii inatoa huduma mablimbali zinazohusiana na nishati na madini kupitia wadau mbalimbali wakiwemo wa Umma, binafsi, Washirika katia ya sekta binafsi na umma, jamii, Mashirika yasiyoya kiserikali na asasi za kiraia.

Dhamira:

Kuweka sera, mikakati pamoja na Sheria kwa ajili ya nishati na madini endelevu ili kuwezesha ukuaji na maendeleo ya uchumi.

Dira:

Kuwa taasisi makini inayosaidia maendeleo ya uchumi katika jamii kupitia matumizi endelevu ya rasilimali za nishati na madini nchini Tanzania kufikia mwaka 2025.

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania Makampuni ya Madini yaliyosajiliwa
Muundo wa MEM Miradi-Wizara ya Nishati na Madini
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2016-01-06 07:49:48
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page