Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kulipa
OFISI INAYOHUSIKA
Wakala ya Majengo Tanzania

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Malipo yote ya kupangisha nyumba yanalipwa benki na malipo taslimu ofisini hayatakiwi

Masharti

Hakikisha unajua namba ya nyumba, kodi kwa mwezi na jina sahihi  la mkataba kwa ajili ya miamala yote.

Taratibu

  1. Tembelea tawi la benki ya CRDB lililoko karibu
  2. Lipa kwenye Tanzania Building Revenue Account namba
    01j1027841900, CRDB Bank.
  3. Wasilisha nakala halisi ya stakabadhi ya kuweka fedha kwenye
    ofisi za TBA ili wakupe risiti.
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 28-01-2016
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page